Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,464
- 2,161
Duh!iko poa joWazi jo buda(asante mkuu).Kaa umedai(kama umetaka) kung'am(kujua) sheng,jiseti kiusystem kaa stude(keti kama mwanafunzi shuleni),sidai umauru(sitaki utukutu)!Word of the day-(Sheng-Kiswa)-Kusing'aing'a,maana yake ni;ku'stagger',baada ya kunywa pombe.Kwa mfano,Morio wa mine(rafiki yangu) jana alising'aing'a mbaya na alikuwa amechapa(amebugia) konyagi jamo(moja) tu!.