connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,441
- 3,396
Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
😀😀😀😀1. Wa-Syria wana maonyesho kila kukicha. Sijui wanazalisha hizo bidhaa saa ngapi wakati Syria kinawaka kila siku.
2. Wabongo tunasubiri Teuzi tu na Mechi za Simba na Yanga
Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
Inasikitisha SanaZaidi ya miaka 60 ya uhuru. Tunatembeza bakuli.
Na ubishani wa Simba na YangaSisi tunazalisha majungu tu.
Na machawa bwana, yaani kila mwaka chawa wapya wanakuja kitaa and majority ni degree holdersSisi tunazalisha majungu tu.
Sisi tunazalisha machawa, mafisadi, majizi nk wa kutosha kwenye kiwanda cha fisiemu!1. Wa-Syria wana maonyesho kila kukicha. Sijui wanazalisha hizo bidhaa saa ngapi wakati Syria kinawaka kila siku.
2. Wabongo tunasubiri Teuzi tu na Mechi za Simba na Yanga
Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
SanaInasikitisha Sana