Sweet Pie... I Need a .........Healing Baby...

Hivi hiyo 'worry out' maana yake ndo nini?

Ni standard English kweli hiyo?

Mzee wa standards uje na wewe TBS wakukague kama umekidhi viwango vya kukagua wengine aka standards, la uje uanze standard 1 with our new President education is FREE :D:D:D.
Najua nimeongea KISWA-NGLISH nimefanya hivo makusudi aka bingwa wa kujihami japo pia kwa kiasi flani sijui Kiinglish na kwa kiasi flani sijui Kiswahili.
Uje na rula na chaki utufundishe vyote:cool::cool::cool:

Kasie.
 
Fak you.
 
hahaaa
nimeisika sana kwa watu hadi nimeitumia bila kuuliza
ni worry not sio?

Kwa kweli hiyo 'worry out' mimi sijawahi kuisikia kutoka kwa native speakers.

Nadhani watu waitumiayo ni watu ambao hawaimudu vizuri lugha ya Kiingereza.

Inanikumbusha jinsi ambavyo watu hawajui maana ya 'romance'.
 
Tunaanza tengeneza English yetu wenyewe

ushasikia watu wakisema 'full mass nondo'?
exactly ni lugha gani hiyo?
 
Oh yeah, hiyo nimeshaisikia sana.

Pia, nimeshasikia watu wakisema 'professional' huku wakimaanisha 'profession' au 'weaving' huku wakimaanisha 'weave'.

Watanzania hatujui lugha...si Kiswahili...si lugha za makabila.....Kiingereza ndo majanga zaidi.
 
Back
Top Bottom