Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

Nilipomuona nilijua mtu wa Arusha au Manyara kumbe bukinafaso.
Warembo wa Bongo wakianza kilimo watapata utajiri sana maana huyu dada anatrend sana msimu huu.
Sasa ukizingatia FB wanalipa kwa views.
Mtanzania huyo. Huko Bukinabe hawavai kanga za Tanzania na pia hawapiki ugali na masufurianya mia tano shambani.
 
Nadhani mleta mada alipofanyia research ni hapa 👇

View: https://m.facebook.com/story.php/?story_fbid=9074331942583040&id=3327288547287437

Na sisi tunachokijua ni hichi👇

So.... Which is which? 🥵🥵

Namfahamu huyo dogo. Ni mdogo wake na rafiki yangu na mate wangu wa SUA Mpambanaji Juma Ngumuo. N familia ya Kilimo na kaka yake ndio mentor wake kwenye kilimo.
 
Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.

Unatuchukuliaje mzee
Sijamaliza Uzi baada ya kuona uongo wa kutuona hatujui kitu kuhusu kilimo.

Kwanza tumeambiwa hizo hekta 6 karithi kutoka Kwa wazazi wake ni sawa kabisa hatukatai.

Swali muhimu kuliko yote mtaji wa kuzilima hizo hekta sita Kwa pamoja aitoa wapi?

Hapo hamna kitu chochote
 
Ametuona sisi mapoyoyo
Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.

Unatuchukuliaje mzee
 
Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.

Unatuchukuliaje mzee
Hili swali nimejiuliza nikajikuta nacheka tu.
Hiyo pis kali haikosi wadhamini.
Hakuna kilimo cha hivyo
 
FB_IMG_1729325063257.jpg
 
Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.

Unatuchukuliaje mzee
Hahahahahaha hata mie nimejiuliza saaana hilo swali, jamaa anatuona sie wote watoto wenzie
 
Kwa hizo hekari 6 labda kama ni kilimo cha makaratasi.
Hauwezi pata gunia 10,000 kwenye hekari 6😄
Ni kweli. Hizo ni sawa na heka 15. Tanza ia wanaoweza kulima mahindi hutoa heka 25. Hivyo 25 *15= 375.
Tena hap ni Songea, Njombe, Dodoma , katavi. Mikoa mingine hufikishi.
 
1729341456499.png
1729341456499.png

Hii picha haoneshi mvuto. Ni wa kawaida msijemkapigwa. Mademu wa mtaani kwenu wengi wazuri kuliko huyu.
 
Back
Top Bottom