Swali langu la papo kwa papo kwa Mh. Rais Magufuli

Kuna nini cha "kutafakati" kwenye huu utumbo uliouleta?

Mkakati ummeshanzishwa na Makonda na Rais kauunga mkono.

a) List ilishakabidhiwa kwa vyombo husika.

b) Tazama "a"

c) Tazama "a".
Kashifa nyingi,tume nyingi, majibu hayajulikani. Faru John ameishia wapi?
 
hilo swali alishalijib siku nying sana alisema hataki kufukua makaburi. Ngoja tusubir mwisho wake bado mapema sana
 
Back
Top Bottom