CHEDU
Senior Member
- Dec 24, 2015
- 198
- 190
Kaka wala kumkemea haikuwa tiba kwa sababu hakuishia hapo bado alienda kuvamia afghanstan ,na baadae obama akaivamia libya na kumwua gadafi na hakuna hatua aliyochukuliwa na dunia ikashangiliaAlitumia ubabe na walimkemea sana hawakukaa kimya kama huku kwetu huwezi kumpinga raisi bungeni waziwazi, lakini Bush alichofanya wamarekani wamelipa kwa ndugu yake, wameona atakuwa kama kaka ake na wamemkataa vibaya kwenye kura za maoni mpaka amejitoa mwenyewe, kifupi alichofanya Bush ilikuwa ni kuzika uongozi kwenye familia yao.
Kichaa mwingine ni trump anaonyesha kabisa alivo mbabe na inaonekana lazima atavunja sheria na uvamizi utakuwa mkubwa endapo akishinda urais
Wake up broh hawa mababirony ni watu hatar na ni makatiri kulko watu wote duniani