Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,460
- 1,736
Swali la kwanza:
Kwenye kitabu chako cha Qur-an, unasifia kuwa ni kitabu ambacho hakiwezi kubadilishwa maneno yake na maudhui yake Abadan Abadan, je ilikuwaje ukaanza na kushusha kitabu chako cha INJILI ambacho kiliweza kubadilishwa kiurahisi?
Swali la pili:
Kwanini katika kitabu chako cha Qur-an umeweka mkatazo mkubwa kuwa (hauzai wala hauzaliwi wala hauna mshirika) hii imeonyesha kuwa unachukua sana watu wakisema kuwa unazaa na una mshirika, je kwanini usiweke hilo na katika injili, zaburi na torati?
Swali la tatu:
Umesema katika Qur-an kuwa swala yetu na Ibada zetu hazikuongezei chochote wala havikupunguzii chochote katika ufalme wako je kwanini unaonyesha kuchukia sana sisi tunapotenda dhambi?, au madhambi yetu kuna kitu yanapunguza katika ufalme wako?,