Wadau, clip iliyoko hapa mtandaoni kuhusu kauli za viongozi wa UKAWA wanaoonekana kujibu hutoba ya Raisi Magufuli alioita jana,inaonyesha vinasa sauti vya vituo vingi vya television vikiwemo vya Star tv na ITV.
Je,mlioangalia taarifa za habari za ITV na Star tv saa 2 usiku huu, habari hii ya viongozi wa UKAWA kutoa maoni yao, wenzangu mmeiona?