Mbona unaingia na maneno maneno tu ndugu yangu.Wadau, clip iliyoko hapa mtandaoni kuhusu kauli za viongozi wa UKAWA wanaoonekana kujibu hutoba ya Raisi Magufuli alioita jana,inaonyesha vinasa sauti vya vituo vingi vya television vikiwemo vya Star tv na ITV.
Je,mlioangalia taarifa za habari za ITV na Star tv saa 2 usiku huu, habari hii ya viongozi wa UKAWA kutoa maoni yao, wenzangu mmeiona?
Mleta mada na wewe ni KILAZA kama vilaza wengine,Wewe ambacho kimekuuma kwenye taarifa hiyo ni nini?Ulitaka vipaza sauti vitoke wapi,Lumumba au Jehanamu?Acha umbea,tafuta maisha,Utaoneshaje upotoshaji ?
Hapana haijaonyeshwa![/QUOuna uhakika?
Sitawaangusha.ITV hawakuonyesha, pengine vyombo vya habari 'vinamgwaya' Mkulu kutokana na kauli yake aliyotoa jana kuwa hatamvumilia mtu yoyote ambaye atamchelewesha katika kutekeleza ahadi alizowaahidi watanzania......