Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Ila Pasco wa JF ni shabiki sugu wa Lowassa.Mkuu The Big Boss, naomba nikuhakikishie kayika maisha yangu yote, sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Pasco wa jf, hanunuliki na yeyote kwa lolote kwa sababu hana price. Mimi ni priceless, sio CCM wa Chadema, wala Ukawa, wala Lowassa wala Magufuli, ana uwezo wa kuninunua, kwa sababu I'm not for sale, na sina any price tag!.
Naomba uniamini hili ni swali tuu, nimeuliza hawa wanaosusa, wamesusa ili wapate nini?!.
Ni swali tuu.
Pasco