kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,839
- 20,281
Swali fikirishi:Kwanini tigo tu baada ya kubadili jina TTCL bando zilishuka bei ghafla.
Siku ile ile tigo wamebadili jina na shareholder wakabadilika kwa baadhi, siku hiyo hiyo TTCL bando zilishuka bei ghafla tu.
Maswali yangu ni kuwa TTCL ilikua inahujumiwa au vipi?
Maana haimake sense hata kidogo kwamba tigo waporomoke tu na kubadili jina na nyie siku hiyo hyo bei zishuke bei kuanzia bufee dk hadi mb?
Kuna kitu sio bure!!!