Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,138
- 13,826
Chadema hatuna hoja za maana tunapokosoa. Tumejaa tuchi, uchonganishi na majungu. Tuna safsri ndefu kjelekea 2020
Sidhani kama na wewe ni Chadema!
Chadema hatuna hoja za maana tunapokosoa. Tumejaa tuchi, uchonganishi na majungu. Tuna safsri ndefu kjelekea 2020
Hakuna mtu anaetaka apoteze kioo nyumbani kwake. Kazi ya kioo ni kuonesha uso umekaaje je macho yana matongo tongo? Japokuwa kioo hakiwezi kuyasafisha...... Wabunge wa ccm wanasononeka sana km cdm hawapo bungeni kwasababu wao hawawezi kuinyooshea kidole serikali hao bali wapinzani wanaweza na ni kazi yao. Ndo maana magu majuzi alisema hataki upinzani ufe... Ccm inataka upinzani usio na vision yoyote baadae. Cdm wana vision ya kushika dola na ccm wanakazana ipoteza hiyo vision lakin cdm isife ibaki km upinzani wa kawaida usio na madhara kwake km akina tlp na wenzake.Mkuu si wanasema CDM imekufa?
Ni kw sbbu chadema ndie mshindani sahihi wa ccm.vyama vilivyo ktk vita ni ccm na chdm.Mkuu Pamoja na hayo yote kwanini kila kiongozi na wakala wa CCM hawaishi kuwafatilia?
Sasa mbona mnahangaika nao si muendelee na vyama vingine? ukiona mtu anakuchukia jua kuna jambo umemzidiWazalendo woote.na wanachadema wa kipindi cha kuanzia.2005 mpka 2014 wanaiona kasoro ya chadema.tunejaa unafki na upopo wa ajabu.hebu msikilize tundu lissu wa 2010 na wa leo mbingu na ardhi.TUMEJAA UNAFIKI WA AJABU.
Kama hivi wewe unavyofanya,don't mention the name of your enemy if you really hate him.Wakuu salaam,
Nimeona nawaletee swali chonganishi kwanini pamoja na utitiri wa sifa toka kwa CCM na mawakala wao bado Serikali ikiongozwa na Magufuli wanatamani sana sifa toka CHADEMA?
Hotuba za wakubwa wengi huonesha kilio na uchungu wa wazi wazi juu ya ukosoaji wanaoupata toka kwa CHADEMA
Nimejiuliza sana japo MAGUFULI anapata compliments za kutosha toka vyama Vingi pinzani why anawatamani CHADEMA?
Waliwatukana sana CHADEMA kuwa wamechukua mafisadi na kuwa chama kimekufa sasa kwanini bado chama hiki hakiwatoki midomoni mwao?
Nauliza tena Magufuli na mawakala wake mnatafuta sifa za nini toka kwa mafisadi CHADEMA?
The corollary would be the same: Ni kwa nini chadema inatafuta sifa kupitia SerikaliWakuu salaam,