Support Burundians to stand up to a government that killing its own

Kama Nkurunziza angekuwa hapendwi na Warundi angeshindwa uchaguzi

Pili Supreme Court ya Burundi ilitoa Verdict kuwa Nkurunzinza ana haki ya Kugombea, Na mamlaka za Uchaguzi za Burundi zilipitisha jina lake ili agombee, Sasa kosa la Nkurunzinza ni nini?

Waliovunja katiba ni wale waliotaka kupindua serikali halali ya burundi, hao lazima mkono wa dola uwaangukie
 
Hata waliokimbia , wamekimbia viita au njaa, mbona hakuna mtu hata mmoja ameripotiwa kufa kwenye maeneo wanakotoka wakimbizi?
 
Tunawaomba enyi warundi msiwe na misimamo makali. jaribuni kupata suluhisho mwafaka na kwa haraka.

Kuna mtu yeyote on the ground ambaye anweza kututolea taarifa kwa njia ya daily diary?
 
na hawa je hawahesabiki? sababu?
CW4nNMWWkAAIhv3.jpg

CW2cGYtWoAADzxR.jpg

CW2cGuyW4AEDpLk.jpg

CW2cHDMWIAcPn-W.jpg

CW2cHhBXAAAPRkh.jpg
mbona waandamanaji wote watutsi jamani
 
Kama Nkurunziza angekuwa hapendwi na Warundi angeshindwa uchaguzi

Pili Supreme Court ya Burundi ilitoa Verdict kuwa Nkurunzinza ana haki ya Kugombea, Na mamlaka za Uchaguzi za Burundi zilipitisha jina lake ili agombee, Sasa kosa la Nkurunzinza ni nini?

Waliovunja katiba ni wale waliotaka kupindua serikali halali ya burundi, hao lazima mkono wa dola uwaangukie

Umenena vyema mkuu!
 
mbona waandamanaji wote watutsi jamani

Hapo sasa ndio mkonect dots mkuu. Pia changanyeni na propaganda za mchambawima1.Si mmemsikia balozi mahiga leo asubuhi? Amesema warundi wameshangaa kusikia eti wanachinjana! Yeye pia anashangaa maana amekuta Burundi ni amani tupu. Wahuni wapo popote pale duniani hata hapa Tanzania watu wanachinjwa kila uchao, mbona AU hawaleti jeshi?
 
Hizo picha zinachekesha yaani waandamanaji hao wasiozidi 100 ndo sauti ya Warundi wengi?

Nyinyi vijana wenye Mentality za Sindumuja kajipangeni upya, propaganda zenu na Mfalme Kagame zimefeli
 
Think Big Bro,there is Black Agenda behind the scene.TZ na Rwanda ipi inapokea wakimbizi wengi?
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini wakimbizi wengi wa kirundi wanaokimbilia Rwanda ni watutsi?

PAKA ndiye anayewafadhili Hao wahuni,Eti Freedom fighters?
kwasababu ni watutsi wenzake.Halafu usisadiki kila kitu unachokisikia kwenye Media
Hali ya Burundi ni tofauti na Hii wanayotuaminisha kina Mchambawima na wasaka-tonge wenzake

Thank you mkuu for this wonderful and interlectual comment!
 
Mbona hapa Tz tunaua wezi kila siku lakini sijawahi sikia wanyarwanda wakisemaSema kwa nguvu namna hii

Kabisa. Hao majabazi wa burundi wauwawe tu. Hata siye Tz wananchi wenyehasira kali wanauwa kila leo hao majambazi.
 
Si ndiyo Hapo Mkuu,Huku kwetu panya road wangapi wanauliwa kila siku,Mbona wanyarwanda Hawapigi kelele?

Hao Panya road wa kitutsi wanaoleta vurugu Huko bunjumbura na wauwawe tu Maana hamna jinsi sasa.
 
Kama Nkurunziza angekuwa hapendwi na Warundi angeshindwa uchaguzi

Pili Supreme Court ya Burundi ilitoa Verdict kuwa Nkurunzinza ana haki ya Kugombea, Na mamlaka za Uchaguzi za Burundi zilipitisha jina lake ili agombee, Sasa kosa la Nkurunzinza ni nini?

Waliovunja katiba ni wale waliotaka kupindua serikali halali ya burundi, hao lazima mkono wa dola uwaangukie
uchaguzi gani? ule ulio susiwa na wote? supreme court iliyokubali kwa gun point? kumbuka kunawengine waliopitia dirishani kwa kukimbia kulazimishwa kutia sign, hauyajuwi hayo? hebu acha kulaghai watu, hivi haukumbuki uadui wake na Niyombare ulipoanzia? Nkurunziza yote alimezea lakini pale alipo ambiwa chama chao cha CNDD/FDD kinakubalika na kinauwezo wakushinda kwa asilimia kubwa sana iwapo Nkurunziza ataachia ngazi! ghafla tukaanza kuona Nkurumbi wazimu unampanda... hivi nyinyi kwa nini mnataka kufanya watu mafala kana kwamba hatujuwi kinachoendelea, Nkurunziza kayataka mwenyewe... mnakaa mkimkomalia Kagame wakati mkwere ndio kampoza na ushauri wake waki FDLR... katiba ya Burundi haijawahi kuwafanya warundi wasiuane miaka yote iliyopita, msingi wa amani ya Burundi ni Arusha agreements! je Nkurunziza Arusha kaifwatisha? labda tungeanzia hapo, mambo ni rahisi sana hata kabla ya kuangalia support aliyo nayo kwa wananchi mi nafikiri tungeanza kuangalia iwapo chama chake kilitia sign kwenye makubaliano ya Arusha, na je yanasemaje iwapo signatories wameyakiuka? jMali, vyuma, Bukyanagandi, einstein newton
 
Last edited by a moderator:
Kabisa. Hao majabazi wa burundi wauwawe tu. Hata siye Tz wananchi wenyehasira kali wanauwa kila leo hao majambazi.
sasa nani aliye hijack Arusha agreements, mi nafikiri jambazi ni lililo hijack msingi wa amani yao! don't you think so? jMali, vyuma, bukyanagandi, einstein newton
 
Last edited by a moderator:
sasa nani aliye hijack Arusha agreements, mi nafikiri jambazi ni lililo hijack msingi wa amani yao! don't you think so? jMali, vyuma, bukyanagandi, einstein newton

Ungeanza kwa kumshahuri kagame nae afuate arusha agreement maana ilesema proportional ya makabila katika secta za umma na majeshi.

Kagame kwanza
 
Last edited by a moderator:
uchaguzi gani? ule ulio susiwa na wote? supreme court iliyokubali kwa gun point? kumbuka kunawengine waliopitia dirishani kwa kukimbia kulazimishwa kutia sign, hauyajuwi hayo? hebu acha kulaghai watu, hivi haukumbuki uadui wake na Niyombare ulipoanzia? Nkurunziza yote alimezea lakini pale alipo ambiwa chama chao cha CNDD/FDD kinakubalika na kinauwezo wakushinda kwa asilimia kubwa sana iwapo Nkurunziza ataachia ngazi! ghafla tukaanza kuona Nkurumbi wazimu unampanda... hivi nyinyi kwa nini mnataka kufanya watu mafala kana kwamba hatujuwi kinachoendelea, Nkurunziza kayataka mwenyewe... mnakaa mkimkomalia Kagame wakati mkwere ndio kampoza na ushauri wake waki FDLR... katiba ya Burundi haijawahi kuwafanya warundi wasiuane miaka yote iliyopita, msingi wa amani ya Burundi ni Arusha agreements! je Nkurunziza Arusha kaifwatisha? labda tungeanzia hapo, mambo ni rahisi sana hata kabla ya kuangalia support aliyo nayo kwa wananchi mi nafikiri tungeanza kuangalia iwapo chama chake kilitia sign kwenye makubaliano ya Arusha, na je yanasemaje iwapo signatories wameyakiuka? jMali, vyuma, Bukyanagandi, einstein newton

Uchaguzi ulisusiwa? Na nani? Kwani we MTU una nini na warundi? Tatizo lenu ni muhutu kuwa raisi wa Burundi? Yule judge aliyekimbilia Rwanda unamjua kabila lake? Mbona wenzake hawakukimbia hadi leo wapo? Kilichomkimbiza ni chuki zake za kipumbavu na kujiona kwa kuwa ni mtutsi hawezi tena kuongozwa na muhutu. Uchaguzi ulifanyika, watu tuliwaona wakipiga kura hadi matokeo kutangazwa.Hebu acha uzuzu wako wa kihimahima wewe!
 
sina tatizo na warundi lakini naona matatizo yao yanaeleweka! tatizo ni Arusha agreements ambazo hata Nkurunziza alizitilia sign... hata huyo judge "Mtutsi" unayesema anachuki za kipumbavu, mbona alikubali kuongozwa na "Mhutu" kwa mda wa miaka kumi? ukabila unakutia giza kiasi kwamba unashindwa hata kutoa mchango wakutatua matatizo ya ndugu zako Burundi... pls, any update from Entebe? I heard AU forces are getting ready...
 
Last edited:

Update hujazipata tu? Leonce Ngendakumana na Pierre Buyoya si walikuja Kigali kuchukua mawazo ya mfadhili wao Kagame ili wayawakilishe mkutanoni hawajawapa kinachoendelea? Fungua mtandao wa ikiriho. bi ujipatie taarifa zaidi.
 
hao wakimbizi wanaomiminika kutoka burundi wangekuwa wanatoka rwanda na wewe ungekuwa unaishupalia rwanda sasa hivi. nashangaa wale wanafiki wote wanaolalamikaga eti wamechoka kuwahifadhi wakimbizi leo wako kimya. unafiki huwa haujifichi kwa muda mrefu. Leo hamjachoka kupokea wakimbizi kwa sababu wanatoka burundi.

Kwanza kiswahili chako kinadhilisha uliwahi kuishi TANZANIA, sina shaka ulisomeshwa na kulishwa bure na Serikali yetu Tukufu,Wanyarwanda walianza kukimbilia Tanzania tangu mwisho mwishoni ya miaka ya hamsini, wengine wamepewa mpaka Urai, leo hii wewe unapata wapi ubavu wa kuanza kudai eti Tanzania ni wanafiki simply because tumekubali kuwapokea wakimbizi kutoka Burundi bila masharti!! Kauli yako hiyo inadhilisha kitu kimoja nacho ni kwamba kwa bahati mbaya baadhi ya Wanyarwanda ni ungreatful Bast....s, hulka yenu hiyo ndio inawafanya mshupalie masuala ya Burundi as if Burundi ni Koloni au Mkoa mmojawapo wa Rwanda.

Nataka nikukumbushe kwamba unlike Rwanda - Tanzania tunahifadhi wakimbizi hatugeuzi makambi ya Wakimbizi kuwa maficho ya kufundisha masuala ya kijeshi kwa wakimbizi na baadae kuwapa silaha za kwenda kujaribu kupindua Serikali halali za nchi jirani, tunaheshimu majirani zetu na hatuna kawaida ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote bila ya kuombwa na Nchi husika.
 
Na wanaokimbilia Tanzania? Nijibu hilo kabla sijaendelea
Simple - ni Warundi walio kuwa wanatafuta mbinu/kisingizio cha kuhamia Tanzania, wametumia machafuko ya mjini Bujumbura kama karata yao ya mwisho kujaribu bahati yao - hawakukibizwa na vita wale wengi wao wanatoka Mikoa ya Burundi ambako hakuna machafuko yoyote.
 
Back
Top Bottom