Sumaye: CCM waliibeba IPTL na Escrow

Unatakiwa kwanza ujitoe fahamu ndio uwe mwanachama wa vyama vya siasa hapa nchini.......

Haya maneno ni ngumu kuamini kuwa yanatoka kinywani kwa Waziri mkuu ambaye amedumu kwenye wadhifa wake kwa miaka kumi.......

Ni waziri mkuu ambaye amesimamia kusainiwa kwa mikataba mingi mibovu ambayo inaiumiza taifa mpaka leo hii....ukiwemo na huo wa IPTL.....

Ni waziri mkuu ambaye chini ya uongozi wake kama msimamizi mkuu wa serikali na kiongozi wa balaza la mawaziri....tulishuhudia uuzwaji wa viwanda na migodi kwa bei ya kutupa.......leo hii anapataje uhalali wa kuyasema hayo hali ya kuwa na yeye ni miongoni mwa wakuu waliolitengeneza tatizo hilo.....!!

Kinachonishangaza zaidi wapo watu wanaomshangilia na kumpigia vigere gere.....watu ambao miaka mitatu nyuma walikuwa wanamuita mwizi......

Mshangao unakufanya ujiulize kuwa watu hao wanatumia sehemu gani ya kiungo cha miili yao kufikiria na kuchanganua mambo.....!!? Unabaki kucheka tu........

Bada naamini na nitaendelea kuamini kuwa mabadiliko kwenye taifa hili hayataletwa na porojo za wanasiasa....
 
Sumaye akiwa Waziri Mkuu aliishi na IPTL 10 years akaivumilia,

Leo ni Mwenyekt wa Chadema Pwani ndio Uzalendo umemrudi Moyoni

Tatizo ni katiba yetu,tungekuwa na katiba isiyolea ufisadi na mafisadi sasa hivi wanafamilia wangekuwa kila mwaka wanaenda kupalilia makaburi ya viongozi wakuu wastaafu wa awamu ya 3&4.Waziri mkuu ni kivuli cha rais,tulipaswa kuwakamata marais na serikali yao yote,lakini kwa sababu katiba yetu imetoa kinga,acha tu tuendelee kuwaita wazee wakati walitumia ujana wao kuliibia Taifa.
 
Sumaye akiwa Waziri Mkuu aliishi na IPTL 10 years akaivumilia,

Leo ni Mwenyekt wa Chadema Pwani ndio Uzalendo umemrudi Moyoni
ndo maana alitoka huko kwa kuwa alisukumwa na uzalendo ili asiendelee kuliangamiza taifa.
 
Zile za Simba Trust,zilizotoka Stanbic ni za Lumumba.Mmesahau Kagoda???vipindi vya uchaguzi
 
Sumaye alikuwa mwanaccm mwenzangu. Kwa uelewa wangu mdogo Waziri Mkuu kufanya lolote pasipo aliyemteua yaani Mkapa. Hatakama ni chuki za kisiasa hili linakuja kulipwa hizi ni nyakati zitapita zitakuja nyingine na zenye maamuzi tofauti
 
Unatakiwa kwanza ujitoe fahamu ndio uwe mwanachama wa vyama vya siasa hapa nchini.......

Haya maneno ni ngumu kuamini kuwa yanatoka kinywani kwa Waziri mkuu ambaye amedumu kwenye wadhifa wake kwa miaka kumi.......

Ni waziri mkuu ambaye amesimamia kusainiwa kwa mikataba mingi mibovu ambayo inaiumiza taifa mpaka leo hii....ukiwemo na huo wa IPTL.....

Ni waziri mkuu ambaye chini ya uongozi wake kama msimamizi mkuu wa serikali na kiongozi wa balaza la mawaziri....tulishuhudia uuzwaji wa viwanda na migodi kwa bei ya kutupa.......leo hii anapataje uhalali wa kuyasema hayo hali ya kuwa na yeye ni miongoni mwa wakuu waliolitengeneza tatizo hilo.....!!

Kinachonishangaza zaidi wapo watu wanaomshangilia na kumpigia vigere gere.....watu ambao miaka mitatu nyuma walikuwa wanamuita mwizi......

Mshangao unakufanya ujiulize kuwa watu hao wanatumia sehemu gani ya kiungo cha miili yao kufikiria na kuchanganua mambo.....!!? Unabaki kucheka tu........

Bada naamini na nitaendelea kuamini kuwa mabadiliko kwenye taifa hili hayataletwa na porojo za wanasiasa....
Kwani JPM hakuwepo kwenye serikali zilizopita? Mbona mnamsifia ni mzalendo?
 
Hivi wakati upuuzi wa IPTL na Escrow vikitokea Mr.zero(Sumaye) alikuwa ameshahamia CHADEMA?
 
Kwani JPM hakuwepo kwenye serikali zilizopita? Mbona mnamsifia ni mzalendo?

Na nyinyi mbona mnamsifia Lowasa kuwa ni kamanda na mkombozi hali ya kuwa mlisema kuwa na mwizi na ushahidi mnao.....!!?

Jitoe kwenye utumwa wa fikra za wanasiasa ili uwe na mawazo huru.....!!
 
Sijawahi kumsifia kama ni mkombozi najaribu ku wa quote wanaosema Sumaye naye alikuwapo wanatakiwa waelewe siasa ni mchezo mchafu na yaliyopita yamepita wasi abudu kupita kiasi akiondoka kuna watu wataabudu mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom