Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Mwanahabari Huru ni moja ya makada wa chadema wenye njaa kali
kazi yenyewe ya kuvamia watu?Porojo porojo
Hapa kazi tu
JPM oyeeeee
Makonda oyeeewe
Achana na udaku. Leta idea za kujijenga kiuchumiKelele zimezunguka nyumba ya makonda na babu yake,hatapata usingizi,na Dar ndio uwanja wa kila kitu,muda si muda ataanza kuzomewa.
Clouds wako karibu na asilimia 95 ya wasanii,
Huwezi kupambana na redio mbili kubwa kabisa jijini kama E FM na Clouds
Porojo porojo
Hapa kazi tu
JPM oyeeeee
Makonda oyeeewe
Mkuu ni wewe kweli au Naota nifuate PM niamini ni wewe kweli umeandika haya manenoMagufuli na Makonda hawajui Ugumu wa kutafuta kura Ndio sababu wana Jeuri za kishamba, January Makamba na Nape wanaujua sana
Hakuna neno linaniudhi na kunikera kama hawa vibaraka kusema hapa kazi tu.Porojo porojo
Hapa kazi tu
JPM oyeeeee
Makonda oyeeewe
Hivi mtu kumdekeza baby wake kwani ni kosa jamani???Muachine Daudi Albert Bashite (Paul Makonda) adeke.
huoni kuwa mnapukutika tulimewashuka pwaaaa!!!!
Hata Benito Musolin na best ake Adolf HitlerIdd Amini hakua anapangiwa kazi jamani !
Sasa kuna tofauti gani kati ya Idd Amini na rais wetu hata mumpangie kazi?
Wakizingua watafungiwa,bilashaka wewe siyo mgeni hapa SAMARIA.Kelele zimezunguka nyumba ya makonda na babu yake,hatapata usingizi,na Dar ndio uwanja wa kila kitu,muda si muda ataanza kuzomewa.
Clouds wako karibu na asilimia 95 ya wasanii,
Huwezi kupambana na redio mbili kubwa kabisa jijini kama E FM na Clouds
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais John Magufuli amesahau kama amechaguliwa na wananchi jambo linalomfanya kufanya maamuzi yake bila kujali hisia zao, anaandika Hamisi Mguta.
Sumaye alitoa kauli hiyo leo alipozungumza na wanahabari katika ofisi za Kanda ya Pwani za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Dar es Salaam,kufuatia kauli za Rais Magufuli alizotoa jana kuwa, haelekezwi kufanya mambo yake kwani alichukua fomu peke yake, hivyo hakuna anakayemuelekeza katika maamuzi yake.
Sumaye ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chadema, amesema, anakubaliana na Rais kuwa ana mamlaka ya kupanga watu wake na hakuna mtu anayeweza kumuingilia katika hilo lakini anatakiwa kutii hisia za wananchi wake.
“Nimemsikia Rais akisema kwamba yeye haambiwi, yeye ndio Rais, ni kweli, akasema alichukua fomu ya kugombea urais yeye peke yake kwa hiyo anatenda kazi zake anavyotaka, ni kweli lakini ni nani alimpigia kura? Ni watanzania ndiyo waliomfikisha pale,” amesema Sumaye.
Amesema, haki itendeke kwenye jambo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuhusishwa na tuhuma mbalimbali na kuwa limezungumziwa na rais, mawaziri na inaonekana mikanganyo ya dhahili na inaonekana pia kuna mtu anabebwa.
“Kama mkuu wa mkoa anafikia mahali anavamia kituo cha habari, waziri anayehusika na habari anakwenda anasikitika, lazima kuna tatizo, mimi Makonda nikisikia hata kesho ameingia mahali amepiga watu makofi wala sitashangaa, ametukana watumishi mbele ya kadamnasi sishangai, kwa sababu kama kweli yale yaliyoandikwa ni kweli, amefika mwisho wa uwezo wake,” amesema.
Makonda amekuwa katika kipindi kigumu cha kukabiliwa na tuhuma nzito za kumiliki vyeti vinavyotajwa kuwa vimetokana na jina la mtu mwingine aitwae Paul Christian, aliyefaulu mtihani wa taifa wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari ya Pamba, jijini Mwanza.
Isitoshe, Ijumaa ya wiki iliyopita, alijiongezea mzigo wa kashfa alipofuatana na polisi wenye silahausiku na kuvamia kituo cha habari cha Clouds Media, kilichopo Mikocheni, na kutaka kulazimisha kurushwa kipindi cha Shilawadu kwa namna atakavyo.
Mkuu,namaanisha wasanii wa bongofleva,sio kadogoliHivi kwanini huwa mnapenda kutunga na kuishi kwa HISIA ambazo hata haziwezekani. HAO WASANII 95% Mbona HAWAJAWAPA POLE HAO CLOUDS Kwenye TUKIO LA UVAMIZI - WAKO KIMYA