Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,257
- 12,925
Wakubwa naomba kuuliza kuna baadhi ya vitengo au taasisi katika nchi hii ambazo sheria haziwahusu ni kufanya vile wanavyo taka wao wakati sheria ziko wazi kabisa,
Jana gari la hawa SUMA-JKT lilikuwa limebeba mchanga kilicho nishangaza ni mwendo mkali uku sehemu za zebra zikiwa haziangaliwi uku wakipiga honi kwamba magari mengine yapishe njia wapite kama yafanyavyo magari ya wagonjwa,Hii ni sawa?
El perdode