SUMA-JKT nyie Sheria za Barabarani haziwahusu?

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
5,257
12,925
Wakubwa naomba kuuliza kuna baadhi ya vitengo au taasisi katika nchi hii ambazo sheria haziwahusu ni kufanya vile wanavyo taka wao wakati sheria ziko wazi kabisa,

Jana gari la hawa SUMA-JKT lilikuwa limebeba mchanga kilicho nishangaza ni mwendo mkali uku sehemu za zebra zikiwa haziangaliwi uku wakipiga honi kwamba magari mengine yapishe njia wapite kama yafanyavyo magari ya wagonjwa,Hii ni sawa?

El perdode
 
SUMA JKT nikitengo ndani ya JWTZ kiko chini ya JKT Sasa humo kuna wanajeshi kibao ata baadhi ya hao madereva ni wanajeshi, ulitaka wapite taratibu kazi za watu zisifanyike kwa wakati
 
Ina maana wao tu ndo wanakazi za kufanyika haraka. Kama wanaharaka sana wangewahi mapema.
 
Wakubwa naomba kuuliza kuna baadhi ya vitengo au taasisi katika nchi hii ambazo sheria haziwahusu ni kufanya vile wanavyo taka wao wakati sheria ziko wazi kabisa,

Jana gari la hawa SUMA-JKT lilikuwa limebeba mchanga kilicho nishangaza ni mwendo mkali uku sehemu za zebra zikiwa haziangaliwi uku wakipiga honi kwamba magari mengine yapishe njia wapite kama yafanyavyo magari ya wagonjwa,Hii ni sawa?

El perdode
Askari wote sheria za barabarani haziwahusu, maana huo ndio mshahara wao. Pamoja na kuonea raia mtaani.
 
Siku nyingine usipishe weka gari katkat funga vioo kula kiyoyozi na mziki taratiiiibu fata sheria za barabarani
 
Ni ukorofi tu umewajaa kichwani na upumbavu na kiburi,

Sheria ilitungwa ili wote watii sheria, ila sheria zetu zinakanyagwa kama viatu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wakimkuta police wa barabarani hata hawana habari wanamweka pembeni wanaruhusu gari upande wao hadi gari yao ipite
 
Wakubwa naomba kuuliza kuna baadhi ya vitengo au taasisi katika nchi hii ambazo sheria haziwahusu ni kufanya vile wanavyo taka wao wakati sheria ziko wazi kabisa,

Jana gari la hawa SUMA-JKT lilikuwa limebeba mchanga kilicho nishangaza ni mwendo mkali uku sehemu za zebra zikiwa haziangaliwi uku wakipiga honi kwamba magari mengine yapishe njia wapite kama yafanyavyo magari ya wagonjwa,Hii ni sawa?

El perdode

Sio Suma JKT tu. Na JWTZ. Kuna siku nilishagongwa bila sababu za msingi sababu ya kutofuata taratibu na sheria za barabarani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom