Subaru Forester au Mitsubishi Outlander?

Ila usichukue ya turbo…lakini non trubo zinatumia electric steering ambazo zinakuga mapema kwenye barabara zetu hizi. Labda bdae upate fundi mzuri afanye conversion kwenda kwenye hydraulic ambayo ipo kwenye forester ya turbo.

Turbo ina tatizo gani?
 
Chukua Outlander mitsubishi itakufaa zaidi kuanzia spare parts zipo nyingi kwa hapa DAR ingawa bei zao ziko juu, sikuhizi zipo nyingi Sana hasa Kwa hapa DAR....

Hapana asee ile ukipiga rough road , hata siku 7 haziishi lazima kuna vitu utabadilisha, mdogo wangu ameteseka nayo sana kauza juzi kwa tabu sana. Tatizo ile gari iko chini pia haitaki rough road kabisa.
 
Nategemea outlander ile mafuta vizuri zaidi ya harrier kwa sababu ina gearbox kubwa. Harrier ni 4 speed, outlander ni 6 speed
Iko hivi...Hiyo harrier gear zake na ukubwa wa engine yani ni wakukomoana au kuna watu walilengwa kumiliki hizo gari yaan engine kuubwa halaf gear chache, ambayo hii inapelekea gari kuhold gia kubwa kwa muda mrefu(sekunde nyingi) ili iweze kuchanganya, ko unaezakuta uko spidi ya >60km/hr halaf chuma bado iko gear na 2 au 3. Sasa hii inapelekea ulaji wa mafuta kuwa mkubwa kutokana na kutokua na uwiano mzuri wa gear ratio,speed ratio with proportionality to engine size.
 
Wakuu Habari.
Kwa muda nimekuwa nikitembelea magari ya chini chini kama Premio plus Crown. Lakini naona sasa ni muda wa ndinga za juu.

Nafikiria kununua magari tajwa hapo juu. Na ukizingatia yote sio toyota na sina uzoefu nayo. If Sub forester nachukua new model bei from 20-25 m. Na hizo gari bei almost zinawiana/ ziko sawia.

Swali langu nataka kujua ipi iko vizuri. Pro and cons za hizo gari. Najua forester zinakunywa sana mawese na vipuri kidogo ni gharama. Second choice ikawa outlander ila sina ABCs. Nikakumbuka ndugu zangu wa jamii forum wanajua hizi mambo. Nimekuja mnisaidie

Asante.
forestor bro
 
Mkuu hebu tupe sifa ya Forester dhidi ya wapinzani wake
Sifa zote za gari bora inazo
reliability,comfortability,stability,good design,ipo juu kidogo,offroad ndio mahala pake lami usiseme
..shida ipo kwenye wese na spares uwe na michuzi
 
Back
Top Bottom