ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,804
Wakuu Habari.
Kwa muda nimekuwa nikitembelea magari ya chini chini kama Premio plus Crown. Lakini naona sasa ni muda wa ndinga za juu.
Nafikiria kununua magari tajwa hapo juu. Na ukizingatia yote sio toyota na sina uzoefu nayo. If Sub forester nachukua new model bei from 20-25 m. Na hizo gari bei almost zinawiana/ ziko sawia.
Swali langu nataka kujua ipi iko vizuri. Pro and cons za hizo gari. Najua forester zinakunywa sana mawese na vipuri kidogo ni gharama. Second choice ikawa outlander ila sina ABCs. Nikakumbuka ndugu zangu wa jamii forum wanajua hizi mambo. Nimekuja mnisaidie
Asante.