wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 306
- 793
KAMA UMEOLEWA TULIA IJALISHI KE AU ME.MAANA UNAKULA NA KULIWA MDA UKISHAFIKANimeona na vijana wa Uganda wametaka kuwaiga wenzao wa Kenya, kwa video kadhaa nilizoziona zinaonesha wazi vijana bado wana uoga sana, kitendo cha kuwaona tu polisi ni nduki !! wachache sana wana ujasiri.
Kwa Tanzania suala la mandamano halina ki[aumbele kabisa, ni suala lenye uhitaji mdogo kuzidi usimba na uyanga
WEKA AKIBA YAKO KAMA NAPE MWISHO WA SIKU KAFUTA ACCOUNT KWA AIBU YA KIHOROVyombo vya Uganda na Tanzania havicheki na waandamanaji Kama Kenya,museveni aliwaambia mnachezea moto
Maandamano ya AMANI Bwashee hayo ya Kenya ni ghasia na vurugumechi.Iga Ufe 🐼
Tanzania na Uganda ni rahisi kutisha sababu wananchi ni waoga, hii hupelekea hata maandamano kuwa na watu wachache inakuwa rahisi mno kuyamaliza.Vyombo vya Uganda na Tanzania havicheki na waandamanaji Kama Kenya,museveni aliwaambia mnachezea moto
Ni msemo ulioanzishwa na Manara akiwa Simba, mpira una nguvu sana hapa TzIga Ufe 🐼
i kakuambia ya uganda yemetuoizwa? Ndio kwanzaa wanaanzaNimeona na vijana wa Uganda wametaka kuwaiga wenzao wa Kenya, kwa video kadhaa nilizoziona zinaonesha wazi vijana bado wana uoga sana, kitendo cha kuwaona tu polisi ni nduki !! wachache sana wana ujasiri.
Kwa Tanzania suala la mandamano halina kipaumbele kabisa, Vijana bado ni waoga, wengi hawajaelimika, n.k. Maandamano ni kitu chenye uhuitaji mdogo sana kuliko liufatilia mpira.
Kusema kwamba Tanzania na Uganda mapolisi wa kutuliza ghasia ni hatari kuzidi Kenya ni uongo, wakenya wana umoja, ujasiri na kuandamana kwa wingi wanajenga kitu kinachoogopwa zaidi na serikali kinachoitwa "Nguvu ya umma"
Yale ni Matembezi ya mshikamamo 😄Maandamano ya AMANI Bwashee hayo ya Kenya ni ghasia na vurugumechi.
Maandamano yetu yaliongozwa na Lissu na Mwamba ni mfano wa kuigwa.
Kwahiyo ulitaka tuchome Mtaa wote wa Lumumba?!Yale ni Matembezi ya mshikamamo 😄
1980 kulikuwa na Basi limeandikwa " Iga Ufe na Supu ya Mawe" 😂Ni msemo ulioanzishwa na Manara akiwa Simba, mpira una nguvu sana hapa Tz
Kwa jinsi mlivyo waoga 😄😄Kwahiyo ulitaka tuchome Mtaa wote wa Lumumba?!
Hata Omar Al Bashir alisema hivi hivi mwaka 2019. Huyu bado nchi za Western hazijamchoka vizuri, ikifika point ya kumchoka vizuri muda utaamua.museveni aliwaambia mnachezea moto
Huyu mbona anafanana na Mwindaji wa Kihadzabe?!Kenya ni ubaya ubwelaa laleq.
🤔 Labda ¿¿Huyu mbona anafanana na Mhadzabe?!
Maandamano ya AMANI Bwashee hayo ya Kenya ni ghasia na vurugumechi.