All in all inaelekea kuna tatizo kubwa mahali hapa.Ni vema serikali ikaliangalia swala la CCRT kwa undani.Kuna mambo mengi hayako sawa.
Kuna vitu havipo sawa kwenye madai haya. Kwa uzoefu wangu haya ni majungu. Kama una mkataba na unajua mshahara wako kama makato ya NSSF yanaenda pungufu unaweza kuwasilisha malalamiko NSSF. Pamoja na uzembe wa NSSF lakini hili lilipaswa kuwa na sura hiyo na si majungu ya check kuchomwa moto wakati haina faida yoyote kuminya haki za wafanyakazi. Serikali kutaka kuweka mshahara direct ndio ingeondoa tatizo la makato ya NSSF? Tenda ya kupikia staff sidhani ni issue ya kuleta mitandaoni kulalamika, hicho chakula mnalipa au mnalipiwa na ofisi? Jengeni base ya malalamiko yenu badala ya kutajataja majina ya watu kimajungu tu. Tafuteni watu wenye akili wawasaidie kuainisha matatizo yenu na haki zenu kisheria badala ya hizi hadithi za Shigongo.