Style gani za kunyoa nywele na ndevu zinayowavutia wanawake?

Mimi pesa ninayo ya kutosha, sharo, style za kunyoa kwangu mimi ni furaha tu kujiburudisha nimepewa nywele na mwenyezi Mungu kwanini nisizitumie vizuri, hivyo mimi habari za kuchonga timba ndio zangu
Good
 
N
Good
[/QUOTE
Ndio hivyo yaani, mimi hata dressing table ya wife mimi ndiye niliye mchagulia tena kama surprise hayo ndio maisha sio mwanamke anapendeza alafu mwanamme ndio hivyo tena anavaa mishati na misuruali mikubwa, tafuta pesa pendezesha wife na wewe pigilia Chula za model sio unakua kama zombie, kuwa smart mwanamme
 
Madenge style
87868710_220585502416669_6451687868071828667_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom