Strictly for Ladies

Nwaigwe

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
1,053
914
Hey there! Please if you are not a lady stay out.
Wadada wenzangu habari! Lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwaomba tuongee na kushauriana mambo yanayotuhusu sisi Wadada /wanawake.
Kumekuwa na post nyingi humu zinazotukandamiza,kutunyanyasa kutusema vibaya hata nyingi kututukana. Lakini tukiwa wamoja na tukaongea mambo yetu hapa hatutajisikia upweke wala kuvunjika moyo.
Leo hii tunajua mwanamke kaachiwa jukumu la kuendesha nyumba, mwanamke ndiye analipa kodi ya nyumba, analipa ada za watoto anahangaika kulisha familia hata kama anamwanaume ndani.
Wanawake wametelekezwa na watoto au mimba kukataliwa halafu kutukanwa kuwa yeye ni single mum. WAPO wanaotutukana kwa ajili ya maumbile yetu n.K

KATI YETU SISI WANAWAKE WAPO MADAKTARI, WAFANYABIASHARA,WANASHERIA SOCIOLOGIST KAMA MIMI NA WASOMI TOFAUTI KATIKA KADA
TOFAUTI. Karibuni wote tuongee MAMBO YANAYOTUHUSU, TUKIPEANA USHAURI, KUPEANA REFERRALS,NETWORKING, KUTIANA MOYO....tupresent ishu zetu humu na tuziongee. Tunapokutana na jambo kwenye post nyingine ambazo zinatusema vibaya Wadada/wanawake tuyaongee hapa
 
Tena mi huwa nashangaa sana, humu kuna watu ni vinara wa kutupondea wanawake lkn maisha nje ya keyboard wanatia huruma.
Wana maisha ya shida balaa na wengine nawafahamu kbs, akishatoka kupondea humu unashangaa badae anajifanya ana shida eti umkope hela. Badala ya kutumia muda wao kusaka Note wanakaa kupondea wanawake mara sijui single moms na bla bla kibao.

Acha waendelee kuponda ila sie tunawaona wapuuzi tu na hawajitambui.
 
Mwanamke akiwezeshwa anaweza!
Kujificha huku hakuwez saidia kitu pasi na mwanaume kushiriki ajue nini anawakosea na hampendi!
kama ni ivyo hiki kilio chenu kwamba tunawakandamiza hakitakoma na wanaume tabia yetu na nyuzi zetu humu hazitabadilika!

Jichanganyeni muwaelimishe kwa hoja
 
Sijui tatizo ni nini kwa hawa wenzetu ni kama wanachuki na hasira juu yetu.
Kama unavyosema wanashida kibao badala ya kutafuta walete heshima wanabaki kutusimanga
 
 
Changamoto zipo nyingi na daima adui wa mwanamke ni mwanamke sio mwanaume.

Mfano mzuri ni page nyingi za umbea mitandaoni zinamilikiwa na wanawake na zinaongoza kudhalilisha wanawake wenzao bila sababu za msingi.(huku washangiliaji na wakoleza ubuyu wakiwa ni wanawake wenyewe)
 
Well said na tuonyeshe jinsi gani wanapaswa watuheshimu sio kila mada ni kukandamiza na kudharau wanawake as if wamezaliwa na manyani na si wanawake hao ambao kutwa kuwasimanga.
sa si muanzishe zenu kwani lazima wawasifie?
ni mawazo na maoni yao so yanaweza kua kweli au uongo kutokana na mazingira learn how to accept t
 
maajabu haya,kumbe nyie ndo mnalipa kodi,mnalipa ada za watoto?duuuuuuuuuuu akili zenu mnazijua wenyewe no offence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…