Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,306
alisema anazo 4Huyu si ndiyo alisema ana nyumba ila ameamua kupanga Mkwajuni?
Halafu sijui kwanini watu wanaojigamba huja kulia mbele za watu...
alisema anazo 4Huyu si ndiyo alisema ana nyumba ila ameamua kupanga Mkwajuni?
Halafu sijui kwanini watu wanaojigamba huja kulia mbele za watu...
Hii chain kiboko
Umemsahau Semhando ingawa alikufa kwa ajali!Mke wa Choki amezikwa mwaka janahapa
aisha mbegu
banza ston
washapotea
mr nice yupo vibaya
Hii ni zaid ya food chainHii chain kiboko
aisee sikujua nilimuona anazidi kungaa tu a kunenepa huyu ali chokiUmemsahau Semhando ingawa alikufa kwa ajali!Mke wa Choki amezikwa mwaka jana
Hawa watu wamezungukana sana kuna uzi humu niliona wana Jf wanamsifia Lilian internet kuwa ametulia na yuko tofaut na wacheza show wengine nikawa nachekea pembeniaisee sikujua nilimuona anazidi kungaa tu a kunenepa huyu ali choki
hahaha kwani yeye si yupo bado? kwanini unacheka mkuu?Hawa watu wamezungukana sana kuna uzi humu niliona wana Jf wanamsifia Lilian internet kuwa ametulia na yuko tofaut na wacheza show wengine nikawa nachekea pembeni
Yupo ila jamaa wangekua na access naye nao wangeuziwa mbuz kwenye gunia jinsi walivyokua wanamsifia;Msondo amebaki Romario na Mabela tu wakongwehahaha kwani yeye si yupo bado? kwanini unacheka mkuu?
msondo ngoma ndo walitisha nadhani walikuwa wanapokezana wapenzi
Ohooo!!Wadananda wanafanyiana udananda
Mkuu mliopanda skuli basi mna raha sanaHawa jamaa wataambukiza watoto wetu kiingereza cha uongo kwa sababu ya nafasi yao ktk jamii, ngoja turekebishe mapema:
Steve: '..romance..', nadhan hapa alimaanisha 'rumours' ikitamkwa 'rumaz' yenye maana tetesi, umbea, nk.
TID: Huyu kiingereza chake kizuri, ila matamshi yanamsumbua kama mimi na watz wengine. Anatamka 'ai hevu bin woking..'. Badala ya kutamka 'woking' akimaanisha 'working' alipaswa atamke 'weking' yenye maana ya kufanya kitu/kazi maana ukiitamka 'woking' unamaanisha neno 'walking' na sio 'working'.