Stellenbosch timu kubwa au timu ndogo?

Mimi nasema mapema..ni timu ya kawaida sioni ikiipa Simba ugumu..ila kwa ilipofikia sio ya kubeza.
Shida Kuna watu tukishinda watasema tumepiga bomu Mortuary wakati saa hizi wanaisifia.
 
Nauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale.

Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au Vibonde?
Vibonde sawa na wanaochezanao leo. KURWA na DOTTO, pipa na mfuniko.
 
Tuwawekee kabisa msimamo wa ligi yao siku ya leo wasije wakailinganisha na Marumo Gallants

1000072474.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BRN
😂😂shabiki maandazi akitafuta kichaka chakujifichia.... Kwani simba na TP mazembe ipi ni timu kubwa?. Ukubwa wa timu unapimwa na nini?.
Mpira wa SASA hauhitaji ukubwa wa timu bali mipango na fighting spirit ya wachezaji!.
 
Sasa hivi makolo wanayapaka kila aina ya rangi mashindano ya kina mama ili yawe na hadhi.
 
Inaweza ikawa kubwa kwa sababu imejitahidi kufika hatua ya nusu fainali katika mashindano ya Africa.


So ipewe tu heshima yake.
Stellenbosch Iko 1/2 final on first attempt cf with simba's 12th attempt.
Verdict: stellenbosch ni bonge la timu. Simba asipojiangalia anakalishwa.
 
Back
Top Bottom