Haha! hilo mtalisema nyie wenyewe baada ya mpira kuisha!Nauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale.
Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au Vibonde?
Yaani anahofia simba akifungwa kuambiwa amefungwa na vibonde na akishinda awe amewafunga vibonde.Inaweza ikawa kubwa kwa sababu imejitahidi kufika hatua ya nusu fainali katika mashindano ya Africa.
So ipewe tu heshima yake.
Hayo yote ni matokeo ya mpira na hata kama hao jamaa ni vibonde ndio tayari washafika nusu fainali. Kwahiyo matokeo yoyote yapokelewe tu.Yaani anahofia simba akifungwa kuambiwa amefungwa na vibonde na akishinda awe amewafunga vibonde.
Vibonde hawafikagi nusu fainali,soka ya sasa haitafsiriwi hivyo.Hayo yote ni matokeo ya mpira na hata kama hao jamaa ni vibonde ndio tayari washafika nusu fainali. Kwahiyo matokeo yoyote yapokelewe tu.
Vibonde sawa na wanaochezanao leo. KURWA na DOTTO, pipa na mfuniko.Nauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale.
Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au Vibonde?
Stellenbosch Iko 1/2 final on first attempt cf with simba's 12th attempt.Inaweza ikawa kubwa kwa sababu imejitahidi kufika hatua ya nusu fainali katika mashindano ya Africa.
So ipewe tu heshima yake.
Simba wanatakiwa wawe na umakini mkubwa sana.Stellenbosch Iko 1/2 final on first attempt cf with simba's 12th attempt.
Verdict: stellenbosch ni bonge la timu. Simba asipojiangalia anakalishwa.
SawarVibonde hawafikagi nusu fainali,soka ya sasa haitafsiriwi hivyo.
Ile timu ya kubwa ya Uto ya Marumo siioni hapoTuwawekee kabisa msimamo wa ligi yao siku ya leo wasije wakailinganisha na Marumo Gallants
View attachment 3309973