Star Tv: Yericko Nyerere aongelea mwenendo wa siasa nchini

Ila mwanasiasa yeyote ukimpa.muda wa kuongea ni hatari anaweza kubadili mind zako
 
Unasikiza ayasemayo au unatazama alichovaa? Si kuna wanaopiga suti za Gianni Versace, tena kutoka Italy kwenyewe.....wamewafanya nini? Wameifilisi nchi na kuiingiza katika limbwi la matatizo ya kijamii ambayo itachukua miaka 40 kuondoka. Sometimes, nadhani Watanzania wanapata yale wanayoyastahiki! Si watu wa substance....jamii ya ngonjera na.....songisongi!
 
Back
Top Bottom