Star Tv waendeleze hiki kipindi cha Mbivu Mbichi watafanikiwa sana!

Sio kwa ujinga huu
aca09e52ae9f7585fac8193bf250b9a4.jpg
nimesikia kwa flani, nimeona kwa flani, watu wengine ni wajinga kwa sababu wanaishi maisha ya watu wengine, they have never lived their own life at all.
 
Mbona wewe unamshabikia fisadi mkuu yeye siyo mwanamme. Au yeye anakupa nini!!
Kila mtu ana interest yake.
Interest nyingine nazo ziangalie zisije zikawa ndio zinaelezea uwezo wako.Kwahiyo We nchi hii INA fisadi yupi uliemuona mahakama ya mafisidi imemuhoji au ileyemshtaki tangu kuanzishwa kwa mahakama yenyewe?.Halafu Mimi sishabikii mtu hapa.
 
Itamshitaki mashahidi itawatoa wapi? Kwani waliyokuwa wakimwita fisasi mkuu wame- turn hostile na kumuona tena ni mungu mtu.
 
Back
Top Bottom