SSRA walipa pango bilioni 600 kwa mwaka (Gazeti la Mtanzania)

Status
Not open for further replies.
Acheni jamani uuiwi Magu tuokoe na haya majanga,Mtangulizi wako kafanya haya .....uuuwi ,Bil 600? Naombeni mnichangie natafuta uraia Korea Kaskazini,Hapa TZ siwezi,mwenye nacho ani pm,Siwezi jamani mi naumia roho,Tunaona watu wanafanya birthdei party mliman city hall kwa mil .50 kumbe ni hizo wanazozichota,Mi baasi bana
 
Ofisi zao ziko wapi? Hata hivyo kujenga jengomlako siyo sababu ya kuokoa fedha. Kuliufumia jengo hilominaweza kuwa gharama kubwa zaifi kuliko kupanga. Wenzetu Ujerumani ni rahisi na nafuu kupanga kuliko kujenga jengo lako!
 
Kwa miaka miwili ni trilion 1.2 kama za MCC. Sasa mbona wastaafu wanasumbuliwa na mifuko ya jamii kudai mafao yao.

Unajua watajibuje?? Angalia,"Inabidi wasumbuliwe tulipe pango wao tutalipaga tu maana "saivi atuna ela yote imiishia kwenye pango" inhii nhii nhiii nhiii hiii. Ndugu mwandishi badae bhana acha niwahishe kodi ya pango.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Ofisi zao ziko wapi? Hata hivyo kujenga jengomlako siyo sababu ya kuokoa fedha. Kuliufumia jengo hilominaweza kuwa gharama kubwa zaifi kuliko kupanga. Wenzetu Ujerumani ni rahisi na nafuu kupanga kuliko kujenga jengo lako!
Zipo dar ,Pale victoria barabara ya al hasan Mwinyi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom