Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,128
Andaa kipindi chako.
Kwenye coz ya socialinguistic niliwahi kufundishwa kwamba mtu anapojua lugha vizur hasa kwa upande wa vocabularies anaakisi kuwa na maarifa mengi. Hii ni rahisi sana tu hata wewe ni rahisi kumgundua mtu kupitia lugha ya mazungumzo kuwa huyu mtu ana kiwango kipi cha elimu. Hivyo bac naweza kumtetea huyo mchangia aliyewataja hao watu kuwa ni vichwa kwa kigezo cha kuimudu vizuri lugha ya kiingereza kwani hyo lugha ni tajiri katika nyanja ya masuala ya kitaalamu na kitaalamu tofauti na kiswahili.kwa sababu eti wanaongea kiingereza vizur na wameishi marekani, wanasahau kuwa ENGLISH IS THE LANGUAGE, NOT A MEASURE OF INTELIGENCE
ali kibaKama nani
Abdalah Ngororo aliyekuwa katibu WA Mkapahao uliowataja ndio vichwa mnavyojivunia shuleni kwenu?
Yeah...basically hadhira inahitaji kuskia huo utumbo wa anayehojiwa hivyo mtangazaji lazima ajikite mulemule..inagawa si tamaduni zetu kuongelea maisha yetu ya nyuma ya pazia ila utandawazi na ulimbukeni wa tamaduni za magharibi ndo tumefika hapo.Ndo inavotakiwa iwe hivyo,kikizidi kua chakimbea ndo waangaliaji wanaongezeka..mbona kina vipindi kama hivyo vingi tu kwa wenzetu
Mkuu kesho nina paper ya social linguistic....umesoma chuo ganiKwenye coz ya socialinguistic niliwahi kufundishwa kwamba mtu anapojua lugha vizur hasa kwa upande wa vocabularies anaakisi kuwa na maarifa mengi. Hii ni rahisi sana tu hata wewe ni rahisi kumgundua mtu kupitia lugha ya mazungumzo kuwa huyu mtu ana kiwango kipi cha elimu. Hivyo bac naweza kumtetea huyo mchangia aliyewataja hao watu kuwa ni vichwa kwa kigezo cha kuimudu vizuri lugha ya kiingereza kwani hyo lugha ni tajiri katika nyanja ya masuala ya kitaalamu na kitaalamu tofauti na kiswahili.