Ilikuw starz au yanga na azam?Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
Hahahaaaaaaaa!
Nne watu wakapoteana, hii ni sensitive issue, mpaka spika kaiongelea, Yanga ipigwe nan, Simba imewahi tengua matokeo ya 4-0, sasa hawa wa vyurani wao wanapoteana kabisa, ni aibu kubwa sana kwa taifa!
mkuu,kumbuka ndugai nae ni binadamu aisee anauhuru wa kushabikia timu aipendayo.Bunge ndio linatuaibisha kama taifa....masuala ya yanga waachiwe yanga spika anataka kuwa msemaji kama haji Manala wa simba, ? Poor us! Walifungwa brazili saba na wakapoteana kweli kweli sembuse yanga, ? Acheni hizo spika simamia bunge lako wabunge mnapigana tu miti huko hakuna mnachofanya sheenzi
Mkuu,hayo si yalisha pitaaa,kwani imekua nongwa kugusia tuu yaliyoteka uarabuni .Huyu si ndo Spika alomshushia RUNGU la Kichwa yule mpinzani wake kule Kongwa?
Unamaanisha YANGA kachanwa LINDAWote lakini afadhali Bashite tunamalizana nae ndani ya mipaka ya nchi yetu.. Lakini Yanga jamani daah, kwenda kumchanulia mwarabu kiulaini vle mpaka Africa nzima wamejua..?
Ha ha ha.. waarabu wametatua marinda mpaka wakajisahau wakaachwa na ndegeUnamaanisha YANGA kachanwa LINDA
Povu la nnBunge ndio linatuaibisha kama taifa....masuala ya yanga waachiwe yanga spika anataka kuwa msemaji kama haji Manala wa simba, ? Poor us! Walifungwa brazili saba na wakapoteana kweli kweli sembuse yanga, ? Acheni hizo spika simamia bunge lako wabunge mnapigana tu miti huko hakuna mnachofanya sheenzi
wamepoteanaHa ha ha.. waarabu wametatua marinda mpaka wakajisahau wakaachwa na ndege