Spika Ndugai:Tukimtaka Makonda hachomoki

Tanzania daima kwanini waendelee kuandika habari za Makonda wakati walituaminisha kuwa hawataandika tena habari zake hivyo wanataka tuamini kauli ya rais aliyosema juzi juu ya waandishi kutumia kalamu zao vibaya
 
Bunge lipi lilipigwa mkwara likabaki gaa.Mbona halihoji matumizi ambayo hayakupishwa na Bunge? Ni wale wale.
 
Nani anaamini propaganda za gazeti la Chadema !?
 
ccm n ile ile, ohoo ni ile ile, na watanzania n wale wale ohoo n wale wale. Namaansha kuwa nothing will change,
 
Huyu ndiyo TK wa pro Maghufuli & the government, Shame on u. Na ungekuwa karibu nami ningekuburuza kortini, bahati yako umejificha ktk fake ac
Sawa mzee wa *Kortini* .... wataka nipeleka kwa kortini kwani kuitwa mkeyii ni dhambi jooooh...tulizana mazee
 
Tanzania daima kwanini waendelee kuandika habari za Makonda wakati walituaminisha kuwa hawataandika tena habari zake hivyo wanataka tuamini kauli ya rais aliyosema juzi juu ya waandishi kutumia kalamu zao vibaya
 
inamaana bunge linamtaka Mara ngapi au in unafiki tuu...
 
Sawa mzee wa *Kortini* .... wataka nipeleka kwa kortini kwani kuitwa mkeyii ni dhambi jooooh...tulizana mazee
Humo ndani mwenu mmekuwaje hata hoja hamna ??! Msaidieni huyo jamaa yenu asidhani kila analowaza ni sheria.

Amesababisha siku hizi tunafananishwa na Zimbabwe, Rwanda, Burundi etc. Mwambieni hata kina Bokassa, Amin, Hitler waliwahi kuishi na dunia imewasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…