Spika Ndugai:Tukimtaka Makonda hachomoki

Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Mbona walisema hawaandiki habari za huyu jamaaa
Nikupe kamfano kadogo sana; sote tunaamini maandiko matakatifu ni "Neno la Mungu" na mtoa maandiko/neno ni Mungu mwenyewe. Lakini cha ajabu Shetani katajwa humo tena katajwa sana; wanadamu na viumbe wengine nao wametajwa sana humo!

Kwa muktadha huu, habari zinakuwa habari zako kama wewe ndiye "chanzo" cha hizo hizo habari; kwamba wewe ndiwe unayetoa (deliver) hizo habari. Lakini habari kutolewa na mwingine na wewe ukiwa sehemu ya hizo habari hizo haziwi zako tena bali wewe unakuwa sehemu ya habari. So, tofautisha kati ya kuwa chanzo cha habari na kuwa habari. Nadhani waandishi walimaanisha hilo la kwanza.

Pili, inawezekana chanzo cha habari kikawa pia habari. Leo, kwa mfano, Makonda akiitisha press conference, waliotangaza kutoshirkiana naye huenda wasihudhurie. Lakini kwenye hiyo conference akitangaza kujiuzulu wadhifa wake hapo amekuwa habari hata wale waliosusia kushirikiana naye wataandika habari za kujiuzulu kwake. Tasnia ya habari iankwenda hivyo.

Anyway, nisivamie field za watu wakati wenyewe wapo; Cc: Pascal Mayalla
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Wabunge wakitishwa kuwa bunge litavunjwa wanafyata mkia,wanasahau anayevunja bunge naye ni sehemu ya bunge,hivyo chaguzi zote zitarudiwa,
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Bunge jasiri lilikuwa ni la Samweli Sitta tu, mengine yote yanarimotiwa na serikali
 
Atakuwa kahongwa na wauza unga huyu!!?
Bashite anapingwa vita na wauza unga tu.....!
Apigwe vita asipigwe hayatuhusu..... Kinachotuhusu ss ni haki itendeke kwa yule anaevunja sheria basi ao akina makonda na wauza unga watajijua...all we want mtu asivunje sheria kwa kisingizio eti anapigw vta na wauza unga, by the way madawa ya kulevya hayapo juu ya sheria wala wanaopinga madawa ya kulevya hawako juu ya sheria...
 
Yaani naona kuna Mtu anataka awe mungu baba kisha bashite awe mwana na kiembe awe roho mtakatifu....
Wataumbuka hakika.
 
Ha ha ha haaa!! Kabunge nako kameamua kuongea na kujitapa.
Bashite keshashindikana. Hamna wa kumuweza.
Hili taifa la kidemokrasia (Chatolese Democracy) lina mhimili mmoja tu. Serikali kuu. Na serikali kuu hiyi ni Presdaa (The Chatolese) na Bash (The Kolomijean).
 
Back
Top Bottom