Spika Ndugai ana jukumu la kumuita mbunge wa Gairo, Shabiby kwenye kamati ya maadili kwa kumtumia sms zisizofaa DC wa Gairo!

Mbunge wangu huyo.sishangai sana navosikia haya,kwa mkazi wa Gairo hawezi kushangaa kusikia hayo, kwani huyo DC wa Gairo ndo iliesemekana ni Shem wa.......ambaye ndie alie.....na Shem wake.mpk kukatokea mtafaruku mama akamgomea baba kuambatana nae kwenda kuwaomba wanakijiji uenyekiti wa Kijiji cha (rubeho).sishangai kwanini stone tangawizi kajua khs hizo msg na maagizo aliyoagiza.n iishie hapo.
Deshi deshi za nini mkuu? Funguka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo hoja jiwe kaipataje u nae yupo ktk list maana ngumu mno kutambua au wadau nayo ni ilani ya chama nini
 
Wateule wote wa rais coms zate zipo decorded kwenye tis server pale xxxxx
Kila siku wanacho wasiliana vinasomwa na kusikilizwa sometime "live"



Kama wewe ni mtz unayemiliki mali za over 2B upo kundi la hapo juu ila servers zipo kitaa tofauti

Wapinzani wote NGO zinazo kosoa mawakili kwenye kesi nyeti mpo kundi lenu

RiP privacy

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mtalaamu IT ndio kigogo wa jirani wa DSTV. Sio lakushangaa hilo pia mistari mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.
Magufuli naye bana...

Ameshaanza kuingilia mpaka mambo binafsi kabisa ya maisha ya watu.
Sms mbovu mana yake nini??

Ni za vitisho??
Kwa nini DC asiende mahakamani??

Kama ni za mtongozo yeye zinamhusu nini??
Si awaache wamalizane wenyewe hata kama huyo mwanamke ni mke wa mtu??
Spika ataita wangapi wanaotongozana??

Sio mambo ya kutongozana na ww..

DC wa Gairo na Mbunge Shabiby hawaelewani muda mrefu ktk utendaji kazi.. Na sio kabisa kuhusu mambo ya kutongozana..

Umeelewa? 👺😠🖕🖕
 
Shabiby awe muangalifu tu au ajifunze toka kwa yule tajiri wa mabasi wa Tarime, Zacharia. Ajue pia enzi hizi ni za tajiri kufanywa chochote.
 
Rais Magufuli amesema atalishangaa bunge kama halitamuita mbunge wa Gairo mh Shabiby na kumhoji kwa vitendo vyake vya kumtumia message zisizofaa Mkuu wa wilaya ya Gairo. DC huyo ambaye ni Mrs wa mtu amekuwa haelewani na mbunge kiasi cha mbunge kuanza kumtumia message za hovyo hata nyakati za usiku.

Je, Shabiby na Assad watagongana kamatini.

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
1547035811321.png
 
Back
Top Bottom