Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Kivip Mradi wa makao makuu Dodoma ni white ?
Mambo ya ajabu sana. Mh Rais wiki chache zilizopita tuliambiwa kaizinisha 300Billion kwa kuendeleza makao makuu. Spika anakuja kushutumu wanaolipwa posho za kuja DSM huku wakijua januari tunatakiwa madarasa ya wanafunzi millioni na ushee wa kidato cha kwanza. Kwa nini 300Billion zipelekwe Dodoma kwenye kudurufu miundombinu ya kuendesha serikali na zisingepelekwa kwenye madarasa, kuongeza ajira ya walimu, chaki, vitabu vya kiada nk. ambavyo haviko na mambo mengine kuliko kwenda kutapanywa Dodoma?
Upelekwe muswaada haraka bungeni wa kuifuta hii sheria ya Makao Makuu Dodoma na Dodoma ibakie kuwa manispaa ya shughuli za Kibunge na elimu za Vyuo vikuu basi.