lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,476
Ha ha ha haaLengo bi Mkubwa amtulize mwanae
Ha ha ha haaLengo bi Mkubwa amtulize mwanae
Hizo ndo analysis na pro NATO wengi humu.ha ha ha haa. propaganda zimetafuna ufahamu wao.Vita vya Ukraine vinakusukuma vipi kuweka order ya F35!? Kuna mahali F35 imetumika na kuwa effective Ukraine!?
Namuomba Kipanya na MK254 wapitie habari hizi zenye umuhimu wa kipekee, ili tunapo wambia kwamba kivita Urusi ni maji marefu - sina shaka watatuelewa eventually - western air defense sysyem walizo kuwa wanazipigia debe kila siku, leo hii karibu zote zimetiwa kiberiti na dagger missiles za Field Marshal Putin - huu ndio mwanzo makubwa zaidi bado yapo jikoni yakisubiri US/UK/NATO wajiingize kichwa kichwa ili wapata fundisho la mwaka, no kidding Urusi ni baba lao.Channel halis ya Ukraine imeandika yafuatayo
#Слухи
Our source reports that the Office of the President began to save on air defense missiles, as the Russians very often launched "dummy" to reveal the air defense of the Armed Forces of Ukraine.
Today's attack was the most widespread due to the use of dagger missiles, which, according to our data, hit the bunker control and planning centers, as well as air defense / radar. There is information that there are hits on Western installations (Iris-r and nasams).
Losses among officers.
Kwa wanaojua kirusi
#Слухи
Наш источник сообщает, что Офис Президента начал экономить ракеты ПВО, так как россияне очень часто запускали «пустышки», чтобы выявить ПВО ВСУ.
Сегодняшняя атака стала самой массовой из-за применения ракет кинжал, которые по нашим данным нанесли удар по бункерным центрам управления и планирования, а также по ПВО/РЛС. Есть информация, что есть попадания по западным установкам (Iris-r и nasams).
Потери среди офицерского состава.
T-90 tank zikielekea Ukraine.hakika Urusi sio Zimbambwe.
Germany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.Vita vya Ukraine vinakusukuma vipi kuweka order ya F35!? Kuna mahali F35 imetumika na kuwa effective Ukraine!?
K-rat, sasa hivi ungepumzika kidogo, ili msongo wa mawazo ukupungue.Japanese school students are dancing near the Ukrainian Embassy in Tokyo to the Ukrainian song "Stephania" by Kalush Orchestra. In 2022, this song won a Eurovision contest.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Imebidi nichekeModerator nashauri kwa hivi sasa huu uzi wa mgogoro wa Ukraine na Russia uwekwe ktk thread mbili, uzi wa kwanza uwe wa kulipia na uzi wa pili uwe free kwa wote . Kwa kufanya hivyo itasaidia Thread moja kubaki na vichwa vinavyojua kufanya uchambuzi wa vita na siasa za west na Far East , Yaani Great Thinkers. Na Thread ya pili ibaki na watu wa kawaidi kama kina Proved , MK254 na Kipanya , Yaani Normal Thinkers
Tulishakuwa na mijadala mingi sana humu inayohusu F35 sijui kama ulikuwa husomiGermany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.
The German parliament's budget committee approved the spending, including 10 billion euros for the F-35 jets as well as funds for the purchase of encrypted digital radios and assault rifles.
========================
Ujerumani imeweka hiyo oda Decemba mwaka jana ili kuimarisha jeshi lake la anga kama jibu la uvamizi wa Urusi huko Ukraine.
Poland, UK, Australia na nchi zisizo wanachama wa NATO kama Japan pia wametoa oda kwa Lockheed kununua F-35.
F-35 ndiye mfalme mpya wa anga kizazi cha 5, 'stealth features zake, manuverbility' ni za kipekee.
Kajisomee kuhusu version ya F-35B uone maajabu ya teknolojia, ile vertical takeoff landing sio ya kawaida.
But unlike the Harrier, the F-35B and its Short Take-Off and Vertical Landing (STOVL) system offers both vertical landing and long-range supersonic speed in one unit, creating a stealthy, lightning-fast fighter capable of carrying advanced weaponry.
T14 Armata
Sidhani kama unaelewa hata ulichokiandika.... anyway siku njema.Tulishakuwa na mijadala mingi sana humu inayohusu F35 sijui kama ulikuwa husomi
Sijazungumzia ubora wa F35 nimezungumzia f35 hazijatumika vitani sasa kusema ujerumani walizinunua kwa sababu zilikuwa na ufanisi kwenye vita ni uongo.
Ujerumani anunue hata F35 milioni kama warusi walimpiga wakati akiwa super power enz ya hitler ndio watakuja kumsumbua ss hv wana kijijeshi cha mchongo!?
Pigwa spana toka ndukiSidhani kama unaelewa hata ulichokiandika.... anyway siku njema.
Hii nayo ni hoja ?...Pigwa spana toka nduki
Wewe hoja yako iko wapi. Unataka tujibu vihoja kwa hoja!? We vipiHii nayo ni hoja ?...
Nilivyoona vertical takeoff nimecheka sana Mrusi ana Yak 141 na ameshasahau hilo mwingine inapambwa mpaka imekuwa keleleGermany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.
The German parliament's budget committee approved the spending, including 10 billion euros for the F-35 jets as well as funds for the purchase of encrypted digital radios and assault rifles.
========================
Ujerumani imeweka hiyo oda Decemba mwaka jana ili kuimarisha jeshi lake la anga kama jibu la uvamizi wa Urusi huko Ukraine.
Poland, UK, Australia na nchi zisizo wanachama wa NATO kama Japan pia wametoa oda kwa Lockheed kununua F-35.
F-35 ndiye mfalme mpya wa anga kizazi cha 5, 'stealth features zake, manuverbility' ni za kipekee.
Kajisomee kuhusu version ya F-35B uone maajabu ya teknolojia, ile vertical takeoff landing sio ya kawaida.
But unlike the Harrier, the F-35B and its Short Take-Off and Vertical Landing (STOVL) system offers both vertical landing and long-range supersonic speed in one unit, creating a stealthy, lightning-fast fighter capable of carrying advanced weaponry.
T14 Armata
NASAMS chalii😂😂Air defence zilikuwa wap?
Nonsense...Wewe hoja yako iko wapi. Unataka tujibu vihoja kwa hoja!? We vipi