Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,827
- 7,390
Naanzaje kukerwa na wwSawa nitakuwa napost hata zaidi ya mara kumi, ukiona unakerwa kajinyonge..,sawa eeh?![]()
Ww ni mmoja kati ya marafik zangu ambao hatujawah kuonana na kila uchwao lazima nisome comment zako
Hii kuwa timu tofaut inatokana na nyinyi jamaa zetu kuamua kuchagua wali kuku wa kizungu na kudharau Dona na mchemsho wa kuku kienyej lkn pindi siku mtajua umuhim wa chaguo letu na ndio maana tunajaribu kuwavumilia