mume wa mtu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 653
- 386
Hivyo ni vipya na vimeanza uzalishaji awamu hii?maana hata azam vikindu imezinduliwa awamu hii ajabu hii.wiki iliyopita mkoani Shinyanga Rais Magufuli alizingua viwanda viwili
1.kiwanda cha vifungashio bidhaa ikiwemo mifuko ya sandarusi cha Fresho Investment Company Limited
2.kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda,juisi na maji.
N.b ila sikuelewa ni kwann habari ile haikutrend hapa jamiiforums badala yake watu walikuwa bize kudiscuss vitu vya ajabu ajabu.