Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

mkuu upo wapi? mwenyewe nimepewa order ya kuchukua watu mbutu

Asante Sana Mkuu,unafanya Kazi Njema Chukua Weng Uwezavyo Ili Waweze Kwenda Kupata Kujua Sera Za Mh.Magufuli..Mungu Akubariki Bila Nyie Watu Wa Vijijini Wasingeweza Pata Kuzijua Sera Zetu Za Ccm..Shawish Weng Zaid Wafike
 
4u mvt ni maslahi tu. Wamemkausha mzee wa watu pesa zake. Sasahivi kampeni ameanza kufanya kwa kubipuu...
 
Kabla ya kututoa tulipo lazima atuambie nani ametifikisha hapa tulipo.

we mbona unakuwa mgumu kumsikiliza rais.magufuli?kwan anavowasema watendaj wala rushwa,wazembe,mafisad atawawajibisha bado hujapata jibu nan ametufikisha hapa?
 
Mh. John Magufuli anamwaga Sera hapa Bunda na uwanja umejaa sana na waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba akiri kuwa hajawahi kuona mafuriko kama ya leo.

Nimefurahi Sana Kusikia Kuwa Yupo Nyumbani Kwetu Mkoani Mara Kwa WANAMUME. Najua Akitoka Tu Hapo Lazima Aende Kwa Babu Butiama Kupata Baraka Za Mwisho Mwisho Na Kumalizia Kampeni Zake Vizuri Na Salama.
 
Hao hao unaiwaita wezi wakubwa ndo watakaoendelea kuongoza huyo bwana wako fisadi lowasa hapati kitu.... maku weee
 
Gari refu lililobandikwa picha ya Magufuli limeshangiliwa sana lilipopita maeneo ya mianzini Arusha.

Haya ni maandalizi ya Jembe Magufuli kuitikisa Arusha
 
Nilienda Bunda jimbo la mwibara kwa kangi lugora kati ya tarehe 2-6 september, nilihisi niko nyumbani kwa magufuli, lowasa nilimusahau kabisa hadi nilipo rudi dar na kuungana na wanamabadiriko!!!!
 
Hao hao unaiwaita wezi wakubwa ndo watakaoendelea kuongoza huyo bwana wako fisadi lowasa hapati kitu.... maku weee

Mihemko inapotawala na kuchukua nafasi ya ubongo

Naionea huruma Tanzania yangu maana kwa akili za namna hii tunawakati mgumu sana kama nchi
 
Back
Top Bottom