Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,710
- 13,462
Wakuu,
Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo.
====
Mwaka huu 2024 Tanzania Bara inajiandaa kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajira kufanyika Novemba 27, 2024. Tangazo la Uchaguzi huu lilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa mnamo Agosti 15, 2024.
Zoezi la kuandikisha wapiga kura kwenye uchaguzi huu linatarajiwa kuzinduliwa Oktoba 11, 2024 na kampeni kufanyika kuanzia Novemba 20 - 26, 2024.
Ikumbukwe katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 CCM ndiyo iliyoongoza kwa 99% baaada ya wagombea wa chama hicho kupita bila kupingwa, na hii ilitokana na vyama vya upinzani kujitoa katika uchaguzi huo mara baada ya kuona taratibu za kugombea nafasi hizo hazikuzingatia Demokrasia.
Katika orodha hii utagundua kuwa hakuna Mikoa kutoka Zanzibar, hii sababu Zanzibar (Pemba na Unguja) haina uchaguzi huu wa serikali za mitaa, badala yake viongozi wa mitaa (Masheha) huteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika.
- LGE2024 - News Alert: - CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

Nyuzi za Mikoa inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024
- Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024
- GEITA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa
- KAGERA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa waKilimanjaro - Novemba 27, 2024
- Lindi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa waManyara- Novemba 27, 2024
- MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa waMbeya
- Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- MWANZA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Njombe
- Pwani: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa waRukwa
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma
- SIMIYU: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Singida 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga - Novemba 27, 2024
- SHINYANGA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- KIGOMA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora 2024
- Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe
- LGE2024 - News Alert: - CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa