what about girls schools?yaani tabora girls,kilakala,msalato?
Mwaka huu tabora girls kawazidi tabora boys, maskini shule yangu milambo wanaume wako hoi
Hizi taarifa za uongo. ..
Dah! inasikitisha mkuu...maana nikikumbuka idadi ya point 3 tulizoziweka Kibaha (mwaka siri yangu), naona kama hawa wanacheza kabisaaa...
Kisimiri ndo shule ya wapi hiyo? Nayo ni spesho skul ya wenye vipaji maalum?
mkuu kisimiri ni special school,,kukuhakikishia hilo mwaka jana ilikuwa ya 3 kitaifa na shule bora ya serikali,,pia kuna kijana hapo ana 1.5 kama t.o wa ilboru,,,so dont them for granted
Kwa matokeo haya nasifu some of these special schools wameweza kushindana na za provate maanaa mzumbe iko namba mbili, Ilboru, Tabora Girls, Kibaha si haba. Shida kubwa iko wa shule za O level sijaona hata moja ya Serikali O level, zote 10 ni private tu. Kwa mantiki hiyo hata mtoto wako au wa nduguyo kama atapata hizi the so called special schools za A level mpeleke tu. Shule nyingi za Private A level hawafanyi vizuri sana, zaidi wanaofanya vizuri both O and A levels ni Marian, Feza, St Mary's Mazinde Juu tu,
Mwaka huu tabora girls kawazidi tabora boys, maskini shule yangu milambo wanaume wako hoi
Special skul ndo ni nin!? Je bado zipo??
Mie nashangaa private kuwa hot ilhali zilikuwa ni kwa ajili ya failures.
hongera sana my ilboys! well done wadogo zangu. What a great school it was, and still is.
Bila shaka hamkuwa mnafarua ng'ande na kitei pekee, mlikuwa mnavuka the famous mto tololwa kwenda ng'ambo ilee kupiga shule ya ukweli.
dah nakumbukia sana enzi hizooooo!