Special kwa wadada

Mkuu hawa wadada huwa hawajui kuwa linapokuja suala zima la kuoa, uzuri sio kigezo pekee, huwa tunaangalia vitu vingi sana.
Mwisho wa siku anajishangaa na uzuri wake lakini haolewi, wale anao wadharau wasio mfikia kwa urembo ndo wanao olewa.
Ni wachache wenye kujua hivyo mdogo wangu.
 
Hata mimi mwenyewe nashangaa.. Huyu anakuza mambo tu.. Akajipange kwa somo jipyaa hili keshafeli...

Chumvi nyingi sana humu
Kwa kujitetea tu mko vizuri sana, ila huku mitaani mambo haya tunayaona sana.
We utakuta dada tangu usichana wake ye anapikiwa tu na House girl, wengine hata nguo wanafuliwa.
Ni wavivu sana halafu unataka watu tuoe ovyo watu kama hawa?
Huo udigital utawaponza.
 
Aseeeh hapana jamani kabisa kuna mazingira mtu lazima ujiongeze tena huko ukweni ndo kabisaa acheni maneno yenu nyie

Sasa mtu sikuzote mnakula hotelini ama???
 
Anakula nyumbani ila hapiki yeye, yeye nyumbani anajikuta malikia, sasa mziki unakuja pale anapofika ukweni.

Atajiongeza vipi wakati hajui hata kukanda ngano unadhani atakimbilia huko jikoni akaaibike?
Anae jiongeza ni yule anaejua kadada.
 
Kwa kujitetea tu mko vizuri sana, ila huku mitaani mambo haya tunayaona sana.
We utakuta dada tangu usichana wake ye anapikiwa tu na House girl, wengine hata nguo wanafuliwa.
Ni wavivu sana halafu unataka watu tuoe ovyo watu kama hawa?
Huo udigital utawaponza.

Mchana na usiku anakula chips tu,wakija uku wanajisifia wanajua kupika.
 
Anakula nyumbani ila hapiki yeye, yeye nyumbani anajikuta malikia, sasa mziki unakuja pale anapofika ukweni.

Atajiongeza vipi wakati hajui hata kukanda ngano unadhani atakimbilia huko jikoni akaaibike?
Anae jiongeza ni yule anaejua kadada.

Mhmmhmhmhmhmhmhmh. Kila siku mwanaume ale chakula kilichopikwa na wengine sijui hotelini mara mama ntilie hata asionje chakula chako mwanamke?? Mhmhmmmmmmmmmm

Kwa siku za awali sawa but as days goes utajikuta tu you MUST cook for your man bwana acheni maneno yenu nyie

I think Lazima mwanamke uoneshe ujuzi wako na katika sekta ya mapishi pia....

Cc Smart911
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom