Special kwa wadada

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,193
3,325
SPECIAL KWA WADADA

Umepata Bwana, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Akagoma Sana mwishowe akaona isiwe Kesi Akakupeleka

Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu Siku ya Kwanza Umeshinda Unachati, Siku ya Pili Umeshinda Unachati Tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni Kumbe Wao Wanakutazama Tu na kukupimia Wala Hawakwambii Kitu

Siku ya Tatu Wanakwambia Leo Ni Zamu Yako Kupika, Unaingia Jikoni unaona Kila Kitu Kigeni
Vya Huku Unaweka Kule, Vya kule Unaweka Huku (Yaani Hujui Kupika Chochote)

Sufuria Unashika Kama Umeshika Power Bank, Unapika Na Lipstick, Mdomo Mwekunduuu Utafikiri Mtoto wa Jini Katoka Kufundishwa Kunyonya Damu tena huku Umevaa Saa, Umevaa Culture Zimejaa Nusu Ya Mkono, Umevaa Mini Skirt Kama Wafanyakazi Wa Emirates

Msosi wa Wakwe Huwezi Kupika. Ukiambiwa Hufai Kuolewa Unavuta Mdomo Utafikiri Umenyimwa USB Cable Ubust Smartphone Yako
Unaanza Kulalamika Wakwe Hawakupendi, Unalalamika Weee, Unashindwa Kuelewa Kuwa Wewe Ndo Tatizo.

Usitake Kuolewa Ukidhani Mumeo Atakula Chips na Wewe Utakuwa Utakula Pizza Kila Siku, Jifunze Hata Kuchemsha Chai Basi Au Unadhani Google Wataleta App Ambayo Unaweka USB Kwenye Simu Yako Alafu Unaielekezea Kwenye Sahani Inaproduce Msosi

[HASHTAG]#JIPANGE[/HASHTAG] DADA Usidhani Ndoa Ni Kama Kupiga selfie
 
Ngoja waje na mapovu
 
Hao ni wale watoto wasiojua heshima anayotakiwa kuwa nayo mtu akiwa ukweni.

Hivyo wala usiwalaumu wakijua kinatakiwa nini watabadilika.

Na pia muwe mnafanya machaguo sahihi mana hiyo ni aibu sasa.
Point
 
yaani unapika hadi sufuria inakupa shikamoo. mezani sasa unapamba salad dressing ya kufa mtu hadi waombe poo
Kupika unajua ila kunako 6x6 unatulia kama gogo!............ningekuwa wa kike kwenye hiyo sentensi yangu ningemalizia na "mfyuuuu"!
 
Hao ni wale watoto wasiojua heshima anayotakiwa kuwa nayo mtu akiwa ukweni.

Hivyo wala usiwalaumu wakijua kinatakiwa nini watabadilika.

Na pia muwe mnafanya machaguo sahihi mana hiyo ni aibu sasa.
We unajua kupika?
 
Mkuu hawa wadada huwa hawajui kuwa linapokuja suala zima la kuoa, uzuri sio kigezo pekee, huwa tunaangalia vitu vingi sana.
Mwisho wa siku anajishangaa na uzuri wake lakini haolewi, wale anao wadharau wasio mfikia kwa urembo ndo wanao olewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom