South Africa wanataka kubadili jina la nchi yao kuwa Azania

Duu ni wapi nimekulazimisha unijibu nitakavyo? Sasa kuna maana gani ya kuwepo sheria, utawala, dini nk kama kila mtu atamua kufanya au kusema atakacho na asiulizwe au kukosolewa?
Unawajibika vipi na maandiko yako wakati umesema hakuna wa kukulazimisha?
Take it or leave it...!
 
Hivi Muungano ukivunjika na Zanzibar wakajitenga, tutarudi jina la Tanganyika au tutaamua kuendelea na Tanzania?
Acha uchochezi wewe, muungano hautokaa uvunjike kama ambavyo hutokaa kuona kiongozi mstaafu akihojiwa juu ya mikataba ya makanikia!
 
Acha uchochezi wewe, muungano hautokaa uvunjike kama ambavyo hutokaa kuona kiongozi mstaafu akihojiwa juu ya mikataba ya makanikia!

Hahaha! Unajua tatizo mojawapo kubwa la Muungano ni watu kutoongea wazi kwamba unaweza kuvunjika. Inaitwa "mind in denial", sawa na mbuni kujificha kwa kufukia kichwa ndani ya mchanga na mwili wote uko nje.

Ni vema tukaongea athari zitakazotokea muungano ukivunjika, ili tuwe na sababu nzuri za kutouvunja.
 
Labda nami nipendekeze naweza jishindia mlungula wa haja.
mie napendekeza jina la [HASHTAG]#Makinikia[/HASHTAG]
 
Hahaha! Unajua tatizo mojawapo kubwa la Muungano ni watu kuongea wazi kwamb unaweza kuvunjika. Inaitwa "mind in denial", sawa na mbuni kujificha kwa kufukia kichwa ndani ya mchanga na mwili wote uko nje.

Ni vema tukaongea athari zitakazotokea muungano ukivunjika, ili tuwe na sababu nzuri za kutouvunja.
Well said mkuu ...wataalamu wa takwimu wanaiita 'TYPE I Error' sijui!
 
Back
Top Bottom