Somo la kujifunza kutoka kwa Muammar Gaddafi

Hakuna raia wa Libya ambaye alikuwa analaumu uongozi baada I'D kupunduliwa sababu Muammar aliyafanya yote mpaka yanayojitesheleza kwa wananchi lakini leo hii baada ya kuingia huyu jamaa wengu nanamiss utawala wa kikwete
 
Ingekuwa nchi nyingine viongozi wa CCM waliotufikisha hapa na chama chao sijui kama wangekuwa hapo walipo sasa na hii zuga yao baada ya kututia hasara.

Inakera sana leo hii eti wanataka waaminwe!Basi na wafungwa walioko magerezani nao tunawape nafasi ya kujisahihisha uraiani.
Usisahau wengine wapo Chadema mkuu na wanataka kugombea uraisi
 
Kuna mda unakaa unajiuliza ivi jambo alilolifanya Rais ni baya kiasi gani ? Badala ya kumpongeza Rais kwa hatua anazofanya tunabaki kumtupia lawama.
 
Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa 'Libyan American Oil Company' wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu Muhammar Gaddafi akafanya mapinduzi na kuitawala Libya....Gadafi alikuta Libya ipo kwenye mikataba ya ajabu ya Mafuta na Kampuni hiyo ya USA ambayo ilikuwa inanufaisha Wazungu kuliko Libya na siku moja kwa hasira sana na uchungu wa kuona nchi yake inanyonywa kwa neno MKATABA alisema..... "WANANCHI WA LIBYA WALIISHI MIAKA 5,000 BILA OIL HAKUKUWA NA TATIZO KWA HIYO WANAWEZA KUACHANA NA OIL MPAKA NITAKAPOREKEBISHA MIKATABA UPYA ILI WANUFAIKE NA MAFUTA YAO" ....Gadafi kwa ujeuri mkubwa akafanikiwa kubadilisha Mikataba na kwa mara ya kwanza Libya ikaanza kuchukua 51% ya mapato ya Mafuta yake kutoka 25% ya Mikataba uchwara na akafanikiwa kutaifisha Uchimbaji na Utafutaji mafuta Libya kwa 100% ikawa chini ya Taifa lake....Libya ikawa Taifa la kwanza Duniani kufanikiwa kuwa na Majority Share ya Mafuta yake ingawa pia Mabadiliko hayo ya sheria yaliingiza Libya katika migogoro mkubwa Sana na Kampuni ya Libyan American Oil Company Kiasi cha kufungua kesi dhidi ya Libya kama nchi na baadaye Libya kulazimishwa kuilipa Kampuni hiyo pesa nyingi na mahakama ya Dunia ....bado Gadafi hakujali alisema.... "HATA TUKIWALIPA MAPATO YOTE TUNAYOYAPATA LAKINI CHA MSINGI NI PESA YA MAFUTA YETU SIO YAO KAMA ILIVYOKUWA" ....baadaye Libya ilifanikiwa kumaliza deni na kuwa Taifa la kwanza Afrika kufanikiwa kuwa na Social Security ya kuwatunza Wazee wote nchini humo...leo Tanzania miaka 55 ya uhuru bado tunahangaika na wachimba madini yetu now leo Rais Magufuli anataka tuanze kufikiria kama Gadafi kuna wanaopinga na kutaka tuendelee kuwalamba miguu Wazungu ....Hapana tunaweza kufanya aliyoyafanya Gadafi yaani Tunaweza kuchimba madini yetu kama tutaachana na Dollar na kununua 'TECHNOLOGY' ya kuchimba madini yetu wenyewe RAIS MAGUFULI KANYAGA TWENDE asiyetaka akae pembeniView attachment 517774View attachment 517774
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
What happened to Gaddafi??
 
Hakuweza, ila alijaribu.....?
 
Gadafi aliweza ee! Ahaa kumbe mnayataka ya gadafi
Gaddafi aliweza lakini mwisho aliwezwa. Wazungu walipoamua kutupa uhuru wetu hawakuwa wajinga Kama wameridhika au waafrica hatutawaliki Tena walitaka kupunguza administration cost. Lakini tutake tusitake watatutawala kadri siku zitakavyoenda. Njia pekee ya kujikomboa ni elimu elimu elimu. Rasilimali zetu Ndio tunazozitegemea kwa kukupa uchumi wetu lakini kutokana Na ukosefu wa elimu ya technology Na capital wao Ndio wachimbaji na wao Ndio wanunuaji na wao Ndio wakopeshaji . Na naomba msifananishe umuhimu wa madini Na mafuta . Sio kila mtu anahitaji madini madini Ni luxury Lkn. Mafuta Ni hitaji la lazima. Siungi mkono kunyonywa lakini siungi mkono kufanya mambo kwa pupa. Wazungu wameshika mpini Na Sisi tumeshika makali. Tukideal nao kiustaarabu naamini tutafanikiwa lakini tukideal nao kwa matusi ( kuwaita wezi "wametuibia" haliyakuwa hawakushika bunduki kutulazimisha kusign mikataba. tutaumia Na hatoumia Magufuli tutaumia Sisi wananchi wa chini.na ikiwa tunauchungu sana Na kunyonywa tulitakiwa tuanze Na hawa tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha kusign mikataba inayosabibisha Sisi tusiambulie kitu kwa kuwafungulia kesi Za uhujumu uchumi. Halafu baada ya hapo Ndio turudi Na hawa wawekezaji ktk meza ya mazungumzo Na ikishindikana Ndio tuangalie njia nyengine.
 
Sasa tukiiga alivyofanya Gaddafi itakuwa ni uhaini. Kuipindua serikali ya CCM? La hasha !
 
Hawataki kusikia haya, sifa kuu ya hawa ni kushangilia na kupiga makofi kwa ushabiki
 
Tatizo mikataba inakipengere cha kutowekwa wazi,

Pili ccm ndio imetufikisha hapa, Inamaana tunataka panya ajinasue mwenyewe kwenye mtego wakati kanasa ya shindo

Unacho kisema mkuu, ni sahihi Ila kama ccm hawa hawa walipewa mil 10 kupitia cyber law na hao hao wanaujipambanua kuwa ni wazalendo, unadhani wapo serious kiasi gani kama sio movie za bashite za madawa ya kulevya kama kigezo cha kubaki madarakani.

Kwa hiyo kuna MTU mwenye dhamira ya kweli bado sijamwona.
 
Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa 'Libyan American Oil Company' wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu Muhammar Gaddafi akafanya mapinduzi na kuitawala Libya....Gadafi alikuta Libya ipo kwenye mikataba ya ajabu ya Mafuta na Kampuni hiyo ya USA ambayo ilikuwa inanufaisha Wazungu kuliko Libya na siku moja kwa hasira sana na uchungu wa kuona nchi yake inanyonywa kwa neno MKATABA alisema..... "WANANCHI WA LIBYA WALIISHI MIAKA 5,000 BILA OIL HAKUKUWA NA TATIZO KWA HIYO WANAWEZA KUACHANA NA OIL MPAKA NITAKAPOREKEBISHA MIKATABA UPYA ILI WANUFAIKE NA MAFUTA YAO" ....Gadafi kwa ujeuri mkubwa akafanikiwa kubadilisha Mikataba na kwa mara ya kwanza Libya ikaanza kuchukua 51% ya mapato ya Mafuta yake kutoka 25% ya Mikataba uchwara na akafanikiwa kutaifisha Uchimbaji na Utafutaji mafuta Libya kwa 100% ikawa chini ya Taifa lake....Libya ikawa Taifa la kwanza Duniani kufanikiwa kuwa na Majority Share ya Mafuta yake ingawa pia Mabadiliko hayo ya sheria yaliingiza Libya katika migogoro mkubwa Sana na Kampuni ya Libyan American Oil Company Kiasi cha kufungua kesi dhidi ya Libya kama nchi na baadaye Libya kulazimishwa kuilipa Kampuni hiyo pesa nyingi na mahakama ya Dunia ....bado Gadafi hakujali alisema.... "HATA TUKIWALIPA MAPATO YOTE TUNAYOYAPATA LAKINI CHA MSINGI NI PESA YA MAFUTA YETU SIO YAO KAMA ILIVYOKUWA" ....baadaye Libya ilifanikiwa kumaliza deni na kuwa Taifa la kwanza Afrika kufanikiwa kuwa na Social Security ya kuwatunza Wazee wote nchini humo...leo Tanzania miaka 55 ya uhuru bado tunahangaika na wachimba madini yetu now leo Rais Magufuli anataka tuanze kufikiria kama Gadafi kuna wanaopinga na kutaka tuendelee kuwalamba miguu Wazungu ....Hapana tunaweza kufanya aliyoyafanya Gadafi yaani Tunaweza kuchimba madini yetu kama tutaachana na Dollar na kununua 'TECHNOLOGY' ya kuchimba madini yetu wenyewe RAIS MAGUFULI KANYAGA TWENDE asiyetaka akae pembeniView attachment 517774View attachment 517774
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]

usimlinganishe gadafi na uyu wenu, gadafi aliipenda nchi yake kutoka moyoni ndio maana alipokuwa akisema afya, elimu, na malazi bure alimaanisha ni bure, sio wenu ambaye kila siku kauli zinabadilika kwamba tulielewa vibaya, afu je umesikia kauli ya waziri mkuu bungeni? anasema wao hawana shida na ushimbaji madini wachimbaji wasiwe na hofu wao wanataka kujia makontena yana madini gani basi
 
Hatuko serious tunaigiza tu. Mataputapu anamuiga Kagame.
Tunataka siasa safi, uongozi bora na ubunifu ili tuendelee. Sio kukremu idadi ya samaki majini huku Uchumi unakufa

Neno mbona sio la kuzungumzwa na Wanaoweza Kujenga hoja! By the Way Qaddafi akaishiaje?
 
Back
Top Bottom