princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 9,300 18,506 Nov 15, 2024 #1 HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
Chrysanthemum JF-Expert Member Oct 28, 2016 1,543 5,826 Nov 15, 2024 #2 Unataka futa dada 🤣 ilala boma huwa naona wamekamua ila yale ni ya nazi mbovu !
The Spirit of Tanzania JF-Expert Member Mar 7, 2020 1,070 1,925 Nov 15, 2024 #3 princess ariana said: HABARI kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji? Click to expand... sawa
princess ariana said: HABARI kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji? Click to expand... sawa
Lambardi Platinum Member Feb 7, 2008 19,014 22,156 Nov 15, 2024 #4 princess ariana said: HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji? Click to expand... Hujasema uko Kigoma Kahama Mwanza Dar etc
princess ariana said: HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji? Click to expand... Hujasema uko Kigoma Kahama Mwanza Dar etc
princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 9,300 18,506 Nov 15, 2024 Thread starter #5 Lambardi said: Hujasema uko Kigoma Kahama Mwanza Dar etc Click to expand... Eh nmesahau samahani wakuu Niko Dar
Lambardi said: Hujasema uko Kigoma Kahama Mwanza Dar etc Click to expand... Eh nmesahau samahani wakuu Niko Dar
princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 9,300 18,506 Nov 15, 2024 Thread starter #6 Chrysanthemum said: Unataka futa dada 🤣 ilala boma huwa naona wamekamua ila yale ni ya nazi mbovu ! Click to expand... Nazi mbovu huwa sio mazuri mana kuna ndugu yangu anataka ya Tiba
Chrysanthemum said: Unataka futa dada 🤣 ilala boma huwa naona wamekamua ila yale ni ya nazi mbovu ! Click to expand... Nazi mbovu huwa sio mazuri mana kuna ndugu yangu anataka ya Tiba
princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 9,300 18,506 Nov 15, 2024 Thread starter #7 Huu uzi mngeuweka kwenye hoja mchanganyiko saizi ningeshapata jibu
emmarki JF-Expert Member Nov 22, 2012 1,012 1,456 Nov 26, 2024 #8 nipe namba, si unataka cold pressed coconut oil? Niko mafia
Mstoiki JF-Expert Member Oct 9, 2020 4,366 8,410 Nov 28, 2024 #9 Mafuta ya nazi natural ni yale unayotengeneza mwenyewe tu ...!!
emmarki JF-Expert Member Nov 22, 2012 1,012 1,456 Feb 23, 2025 #10 princess ariana said: HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji? Click to expand... unataka lita ngapi, niko kisiwa cha Mafia unapata orijino kabisa. 0752042670
princess ariana said: HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji? Click to expand... unataka lita ngapi, niko kisiwa cha Mafia unapata orijino kabisa. 0752042670