naomba kuuuliza
sasa vile vifaa vya gharama kubwa viliyowekwa kwenye ofisi ndogo ya spika huko kwa urambo ta vitahamishiwa kwenye ofisi ya jimbo ya anne makinda ?
Maana nasikia hata furniture za kukalia wageni kwenye ofisiya mbunge waliagiza kutoka dar na maduka ya dar yanaagiza kutoka china wakati mkoa wa tabora una mbao na hata mafundi seremala wa kutosha.
Tafakari
28th November 10
Mwandosya, Magufuli, Sitta speak out
Restuta James
Having taken an oath of office yesterday three ministers volunteered to speak on what they think, most of them vowing to work hard to implement the CCM election manifesto that the ruling party sold to voters during the general election campaigns, and the promises made.
Former Speaker Samuel Sitta, who has been appointed minister for East African Cooperation, said he would remain firm against malpractices in the society.
He also said he would spearhead the efforts to review The Public Leadership Code of Ethics Act and the enactment of the law to separate business from politics.
He thanked President Jakaya Kikwete for nominating him for the ministerial position, adding that his concept of Speed and Standards would be maintained when undertaking activities in the new office.
He said he would embrace transparency and ethics so that Tanzanians can benefit from the East African Community. I will not fail my fellow Tanzanians. However, we will look into the agreements to see if they embrace our national interest.
Meanwhile, he explained: I promise to be very active and as a minister I will cooperate with fellow ministers to speedily enact the law that separates politics with business and review the Public Leadership Code of Ethics Act, 1995, he said.
Sitta said the two pieces of legislation would provide guidance to leaders so as to restore public confidence in leaders. He said it was difficult for a patriotic public leader to become a billionaire, to the extent of being able to buy houses in foreign countries like France and UK.
For his part minister for Works John Magufuli said he was aware of the difficult task ahead of him, asking the public to pray for him. I am quite aware that the public expects much from me. I ask them to pray for me, he said.
Magufuli said he was aware of the challenges facing the sector, adding that he would meet with his staff to lay down strategies on how to tackle them.
Water minister Prof Mark Mwandosya said he was aware that availability of water was chronic problem, adding that he would judiciously implement all the water programmes.
GUARDIAN ON SUNDAY
Mwandosya, Magufuli, Sitta speak out
My take:
Kwa haraka haraka naona kama vile sura ya Mvi nyingi inajitokezatokeza na kuhusika na katika hiyo statement! Ati wajameni hebu niambieni nani huyo targeted haswa kipindi hiki ambapo kuna udaku wa ukweli huko Ughaibuni kuhusu Mh mmoja? Yetu macho...
mfereji maringoeeh haya!
UTASHUBANYUMA with all due respect,
Naheshimu sana mawazo yako, lakini pia nachelea kusema kuwa yamejaa chuki binafsi dhidi ya Sita, kimantiki sioni hasa hasa unacho lalama ni nini au unataka tu kutuaminisha kuwa sita hafai katika jamii kwasababu tu ameukubali uwaziri, yaani mambo yote aliyofanya sita kwao yamekuwa bure sababu ya kuukubali uwaziri
Lakini jambo la msingi tujiulize kwanini mimi na wewe na wengine wengi tulitaka Sita aukatae uwaziri, kwanini Dr slaa na wengine wengi wanye uchungu na nchi hii hawakutaka sita aukubali uwaziri?
Hivi ili uupinge ufisadi nilazima uwe mbunge wa kawaida au upinzani? kwa hili nadhani Sita mwenyewe amekudhihilishia kuwa hukuwahi kufikiria kwa nafasi ya uspika mtu wa tatu kiuongozi wa nchi unaweza kuwa mpiganaji wa ufisadi. je itashindikana kuupinga kwa nafasi ya uwaziri?
Mkuu hivi kiapo cha sita kumtii rais na serikali au collective responsibility..ndicho kinacho kutatiza kweli au unalako jambo?, wewe ulitaka aapaje, kuwa hata mtii rais wala serikali, mkuu hayo ni matakwa ya katiba the same na alivyo apa mbowe pale bungeni, amefanya hivyo kwasababu ya mustakabali wake wa kisiasa
Mkuu ni wapi sita amesema huwezi pigana na ufisadi ila kwa uwaziri?, alicho maanisha sita ni kuwa yeye kama yeye atautumia uwaziri wake kuendeleza na kufanya anachoamini ni sahihi
Unajua kama aridhi ndio suala zito katika jumuia ya afrika mashariki, sidhani kama pia unajua aliposema atahakikisha nchi haiuzwi alikuwa anamaanisha maswala hayo?
Mkuu sita atawezajj kuikemea nec kuchakachua matokeo, ili hali wewe mwenyewe hujui hata hao wanaodhani wameibiwa hawana ushahidi kuwa wameibiwa?
Mwisho hivi umejiuliza ni kwanini kapewa huo uwaziri pamoja na bifu lake na karibu uongozi wote wa juu?
Kama unavyo mshauri sita aacche unafika, nadhani nawewe acha mkuu, na jaribu kujiuliza hayo maswali hapo juu utapa maana yake.
chamaana hapa ni kuwa kila mtu atimize wajibu wake aliopewa na tusihukumu kwa kugenerolaizi kama R.A au A.L nimafisadi ndani ya chama basi kuna akina pombe magufuli na akina sita ambao wanajitahidi kuweka maslahi ya taifa mbele, wanapaswa kupongezwa badala ya kuwakatisha tamaa,
Gazeti la Mwananchi limetuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Spika Mstaafu Mzee Sitta akiaahidi ya kuwa ataendeleza moto ule ule aliokuwa nao katika kutetea haki za wanyonge...............
Vile vile, gazeti la Nipashe limeripoti ya kuwa Mheshimiwa Sitta kaahidi ya kuwa ataendelea kuwa mkweli na unafiki kwake ni mwiko...............
Nionavyo huu ni ujumbe mzito kwa JK kama alifikiri Mzee wetu Sitta sasa amemziba mdomo kwa kumkata ngwala ya Uspika lakini Bungeni Mzee wetu Sitta atachachamaa kuhakikisha haki za wanyonge zinalindwa...............Hongera Mzee Sitta kwa huo ujasiri uliouonyesha kwetu......maana huko bungeni hatuna makimbilio mengi tukizingatia Chama cha mafisadi ndicho kimekamata hilo bunge na sijui tutaponea wapi..............na hivi sasa wanakazana kuanzisha hoja za udini ambazo hazipo ili tusahahu matabaka ya kimapato ambayo ndiyo chimbuko la migawanyiko kwetu.............