steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,179
- 1,592
Site ya millardayo ipo down kwakuwa hajalipia host sasa mpk ashindwe kulipia host inamaana biashara ya blog ni ngumu au imeluwaje sizani kama amekosa pesa kulipia host
Tatizo la mtandao mkuuKwahiyo walimkopesha hosting kwa miaka mitano??
Tusikilize sisi watu wenye uelewa na hayo mambo. Sio site moja ni site nyingi tu zimekubwa na changamoto hiyoTatzo hosting mnasema mtandao , WaTz vichwa Maji😅
Inwezekana kulipa kila mwka,au muezi mitatu kilaKwenye hosting malipo ni kila.mwezi
Naomba radhiTusikilize sisi watu wenye uelewa na hayo mambo. Sio site moja ni site nyingi tu zimekubwa na changamoto hiyo
Hiyo inamake sense maana huduma za hosting unalipa kwanza huduma inafuata.Tatizo la mtandao mkuu
DahHiyo inamake sense maana huduma za hosting unalipa kwanza huduma inafuata.
Sema site ikishakuwa kubwa ni majanga sana, mimi mwezi huu nimepata DDoS attack mpaka nimekoma.
website faida yake nini??Site ya millardayo ipo down kwakuwa hajalipia host sasa mpk ashindwe kulipia host inamaana biashara ya blog ni ngumu au imeluwaje sizani kama amekosa pesa kulipia host
View attachment 3313421
Haina faida mkuuwebsite faida yake nini??