Sitapiga kura, CCM tunazidi kupotea!

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,325
2,122
Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational katika kuongoza kwake.

Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA. Eti Amos Makala anawananga wapinzani na kusema wazi kuwa CCM wana fedha. Hivi kweli jamani tunatambia fedha. Mpaka kusingizia CHADEMA kuleta maambukizi ya magonjwa, hivi kweli tumekwa watupu hivyo vichwani mwetu. Amos Makala hivi wewe kweli ni CPA wewe! Du! Nchimbi mwenyewe amekuwa bendera fuata upepo, hana lolote na hata speech zake hazivutii kusikiliza. Mbaya zaidi hamna msafi CCM, akina Mwigulu Mchengerwa, wote wachafu tu. Wezi wa Uchaguzi hawa. Tunawaona na Mwenyezi Mungu wetu anawaona. Wanatuchafulia sana Chama chetu!

Mpaka sasa nina uhakika tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.

Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya wakichangamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.

Ninajisikia vibaya sana sana. Nafsi yangu inanisuta sana, sishiriki siasa lakini iwapo CCM itaendelea hivi, nitashiriki siasa za wazi na ni kweli kabisa nitahamia CHADEMA hata kama hakitashiriki Uchaguzi huu. CHADEMA wanasimamia mambo ya kweli ambayo yakizingatiwa basi nchi yetu haitakuja kukumbwa na lawama kuwa sio ya kidemokrasia. CCM yangu mbele yake ni giza tena giza nene, sababu tu ya KUVIMBIWA MADARAKA.

TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
 
Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational.

Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA.

Mpaka sasa ninaamini tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.

Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya akichanagamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.

Umeongea ukweli mtupu huku ukionyesha hisia zako toka moyoni
 
Ni brain kwenye kuongea maneno matamu ila kwenye vitendo na uzalendo hamna kitu. Angekuwa rational kama unavyosema angekaa pembeni na kuacha mtu competent kugombea na uchaguzi ukawa wa amani pia.

Unadhani hajui au haoni yanayoendelea?
 
Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational katika kuongoza kwake.

Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA. Eti Amos Makala anawananga wapinzani na kusema wazi kuwa CCM wana fedha. Hivi kweli jamani tunatambia fedha. Mpaka kusingizia CHADEMA kuleta maambukizi ya magonjwa, hivi kweli tumekwa watupu hivyo vichwani mwetu. Amos Makala hivi wewe kweli ni CPA wewe! Du! Nchimbi mwenyewe amekuwa bendera fuata upepo, hana lolote na hata speech zake hazivutii kusikiliza. Mbaya zaidi hamna msafi CCM, akina Mwigulu Mchengerwa, wote wachafu tu. Wezi wa Uchaguzi hawa. Tunawaona na Mwenyezi Mungu wetu anawaona. Wanatuchafulia sana Chama chetu!

Mpaka sasa nina uhakika tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.

Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya wakichangamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.

Ninajisikia vibaya sana sana. Nafsi yangu inanisuta sana, sishiriki siasa lakini iwapo CCM itaendelea hivi, nitashiriki siasa za wazi na ni kweli kabisa nitahamia CHADEMA hata kama hakitashiriki Uchaguzi huu. CHADEMA wanasimamia mambo ya kweli ambayo yakizingatiwa basi nchi yetu haitakuja kukumbwa na lawama kuwa sio ya kidemokrasia. CCM yangu mbele yake ni giza tena giza nene, sababu tu ya KUVIMBIWA MADARAKA.

TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
Wewe jamaa una akili sana na sasa rasmi nakupandisha cheo kuwa rafiki yangu .
Karibu PM tuwe tunapiga stori za maisha nikufundishe na jinsi ya kuilinda afya yako usife kizembe rafiki yangu.
 
Ccm inamda mfupi Sana was kuishi Kama haita badili Sera zake za kichama
 
Elimu inayoendelea kutolewa nchi inawafungua macho Watanzania kupitia jukwaa la reforms.

Wananchi wanaendelea kujua nchi yao inavyoliwa na imekabidhiwa kwa waarabu
Bandari wamepewa Dubai
KIA wamepewa Oman
Misitu yetu wamepewa Saudi Arabia

Naomba muaafaka upatikane baada ya miezi kadhaa mbele tuendelee kupewa elimu.
 
Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational katika kuongoza kwake.

Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA. Eti Amos Makala anawananga wapinzani na kusema wazi kuwa CCM wana fedha. Hivi kweli jamani tunatambia fedha. Mpaka kusingizia CHADEMA kuleta maambukizi ya magonjwa, hivi kweli tumekwa watupu hivyo vichwani mwetu. Amos Makala hivi wewe kweli ni CPA wewe! Du! Nchimbi mwenyewe amekuwa bendera fuata upepo, hana lolote na hata speech zake hazivutii kusikiliza. Mbaya zaidi hamna msafi CCM, akina Mwigulu Mchengerwa, wote wachafu tu. Wezi wa Uchaguzi hawa. Tunawaona na Mwenyezi Mungu wetu anawaona. Wanatuchafulia sana Chama chetu!

Mpaka sasa nina uhakika tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.

Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya wakichangamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.

Ninajisikia vibaya sana sana. Nafsi yangu inanisuta sana, sishiriki siasa lakini iwapo CCM itaendelea hivi, nitashiriki siasa za wazi na ni kweli kabisa nitahamia CHADEMA hata kama hakitashiriki Uchaguzi huu. CHADEMA wanasimamia mambo ya kweli ambayo yakizingatiwa basi nchi yetu haitakuja kukumbwa na lawama kuwa sio ya kidemokrasia. CCM yangu mbele yake ni giza tena giza nene, sababu tu ya KUVIMBIWA MADARAKA.

TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
Umeandika uharo mtupu, km unataka sauti inayovutia sikiliza ya mkeo. We bwege katafute ht akili ya kuazima. Uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu na Rais wetu ni Samia atashinda kwa zaidi ya 90% hakuna kima atakayetoa ht pua kujaribu kuuharibu. We nenda kaharishe huo uvundo utakufa. Huyo mtu unayefikiria atakufa, atakufa siku zake zikifika siyo kwasababu nyingine yoyote, ht akifa hakuna lolote litakalotokea atapumzishwa km wengine usilete vitisho vya kipuuzi
 
Back
Top Bottom