mnyakyusamnyakyusa
Member
- Feb 16, 2017
- 47
- 24
kula limao na ndimu
kwanza mapenzi yako yote hamishia kwenye chakula.Ulianzajeanzaje
Yaan uliovercom kiaje??? Apo ndo kunashida ariana
Pombe mkuuKiraji ndo nn
Hahahahaha aya bnakwanza mapenzi yako yote hamishia kwenye chakula.
usifanye kula mama option
fanya kula kama kitu muhimu!
chagua unavyovipenda kula, jipimishe; leo umekula chips mayai hujamaliza kesho kazana umalize!
keshokutwa ongeza na ndizi...
yani unafanya kuutanua utumbo.
unautanua kiasi unachotaka, ukishatanuka njaa inakuja yenyewe!
jenga mazoea ya kula ...
wakati unakula usilete mawazo ya ajabu ajabu waza kula. maana unakula unaanza kuwaza baby kanijibu vibaya ,nadaiwa ,ukila sema ngoja nile ntawaza baadae
kula kuwe priority no1
fanya chakula kama dawa unayoinywa kutwa mara3 usipokunywa utakufa.
utaweza...
kama huwezi unashindwa ukiwa cafe niite ntakufundisha vizuri
Situmii hio mjuuPombe mkuu
Hahahaha aya mkuu nitajaribu na hiliNilikuwa na tatizo kama hilo sijui kama limeisha lkn sasa sahani ya mama nitilie sibakishi na chapati mbili namaliza fasta zamani hata moja ilikuwa issue tena ikitokea nimepewa kubwa nakasilika.
Kipindi cha nyuma nilikuwa natumia asali kwenye chai asubuhi kabla ya kwenda ofisini. Ikifika saa sita naacha chochotninachofanya maana amani tumboni inakosekana na ikifika saa kumi lazima nipate bite lkn nilikuwa nakula sana nikitumia asali tu na si vinginevyo.
Sasa hivi asubuhi naenda kupata chapati mbili asubuhi nachukua na maji lita moja na nusu ikifika saa nane naenda kula na chakula nipewacho kitaisha dakika tu.
Aya nitakualika usijalisio kachura nna mchura
ikifika mida ya menu nialike
chura imeisha sijala weekAya nitakualika usijali
Kisa???chura imeisha sijala week
chura yupo kweli?jibu ni kitanua utumbo, jenga hali ya kupenda kula..... unakula nusu sahani Leo ,kesho unaongeza inajaa ...
mimi nilikuaga Kama kijiti nilivokonda...
sasa hivi utanitaka, chura inaonekana nakula hatari!
halafu hata nikiwa na mawazo, nikianza kula najiambia, katika kula sipendi ujinga, mawazo toka nikimaliza kula ntaendelea kiwaza....
kwahiyo unakuta nakula vizuri ,nikimaliza naendelea kuwaza.....
usipende ujinga kwenye.kula. sema na nafsi yako.
hayupochura yupo kweli?
naumwaKisa???
Nimependa jinsi ulivomfafanulia namna gani kitanuo utumbo kinavyofanywa hadi back side na chura anainuka..uko vzrhayupo
em mimiNimependa jinsi ulivomfafanulia namna gani kitanuo utumbo kinavyofanywa hadi back side na chura anainuka..uko vzr
Kwasababu hatuliSisi wembamba tunapata sana hili tatizo
Kilo 66!Samahani kwa kuchelewa kureply mkuu
But nina miaka 23 urefu wa 5'9
Kiuno no31
Mwanaume kilo 66
Nakula mara1 kwa siku nisipojilazimisha
Mara nyingi inakuwa jioni au usiku wa saa6, tatizo sio kupata chakula tatizo ni ham ya kula
Nilipima kila ki2 niko vizuri
Ila nilivyoenda jeshin nilikuwa nakula sana2